Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Once a Kobaz always a Kobaz. Nlikuwa namsoma Ritz akishaambiwa maneno na sheikh ubwabwa anakuja anzisha uzi JF na tatizo la Ritz lugha ya Kibeberu pia haifahamu. Ya kisunna pia haifahamu amekariri tu mistari ya Quran.
Alikuwa aanzisha nyuzi daily, Netanyau kauawa, Israel wamehukumiwa kufungwa, Netanyau amejificha. Kila anachoambiwa na Shekhe Ubwabwa anakuja kuanzishia uzi bila hata kuchambua. Nikajua tu hapa Elimu ndo shida. Za kuambiwa hachanganyi na zake. Ni kama Mbayuwayu tu.