Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Kesi mbona inaendeshwa ila Netanyahu ndio amekua akikwepa kutokea mahakamani sababu anajua ana hatia. Last time kesi imeitwa jumatatu wiki hii unaweza soma mwenendo wa kesi.
Jamaa ni jizi na fisadi cha ajabu unaambiwa ni mteule as if Mungu anapokea mafisadi na wala rushwa!!
Hamna alitoa visingizio kuwa alikula sumu. Ila kesi imemkalia vibaya ndio maana hata Trump na ubabe wote ule kafunguliwa mashtaka mahakama kuu. Nasubiri tu siku ahukumiwe na kuondolewa uwaziri mkuu nione machawa wake humu mtasema nini. Eti taifa teule jitu fisadi, jizi na linasupport ushoga!!Sasa si amedharau? Mtu kutotokea mahakamani maana yake ameona ni ujinga au Upuuzi. Kwa mtu mwenye akili hawezi hangaika na hiyo kesi ya walevi
Hamna alitoa visingizio kuwa alikula sumu. Ila kesi imemkalia vibaya ndio maana hata Trump na ubabe wote ule kafunguliwa mashtaka mahakama kuu. Nasubiri tu siku ahukumiwe na kuondolewa uwaziri mkuu nione machawa wake humu mtasema nini. Eti taifa teule jitu fisadi, jizi na linasupport ushoga!!
Hamna alitoa visingizio kuwa alikula sumu. Ila kesi imemkalia vibaya ndio maana hata Trump na ubabe wote ule kafunguliwa mashtaka mahakama kuu. Nasubiri tu siku ahukumiwe na kuondolewa uwaziri mkuu nione machawa wake humu mtasema nini. Eti taifa teule jitu fisadi, jizi na linasupport ushoga!!
Si unasemaga ni taifa teule? Sasa unaona ni sawa taifa la Mungu kuwa kitovu cha ushoga duniani?Ku support ushoga hilo ni tatizo lake au hilo kwa mimi halina effect maana kuna wanao support mauji na tunawaona wanapongezwa na kuonekana mashujaa.
Kuacha ushoga ni rahisi kuliko uuaji? Are you serious? By the way Netanyahu ana support yote mawiliNi bora na huyu ambaye shoga anaweza akabadilika akaacha huo uchafu akawa mtu mzuri. Kwenye mauaji once umemuua mtu harudi tena nyuma.
Na atafungwa otherwise ataondolewa ofisini. Jizi alafu eti taifa teuleKama anafanya ufisadi kwa kweli sheria zichukue mkondo wake. Wakimfunga tena ni ushindi mwingine tena kwa Israel.
Israel inajali? Kukataa watoto wasipewe chakula hadi wafe kwa njaa ndio.kujali utu?Mi nachopenda ni vile Israel inajali sana maisha ya Raia wengine hata inapopiga inahakikisha wengine wanabaki salama wasidhurike.
Kwa hio we chizi umzidi akili Ritz hahaha we mwenyewe unajita chizi Maarifa kiujumla we umekiri ni chizi katika ma chizi.Once a Kobaz always a Kobaz. Nlikuwa namsoma Ritz akishaambiwa maneno na sheikh ubwabwa anakuja anzisha uzi JF na tatizo la Ritz lugha ya Kibeberu pia haifahamu. Ya kisunna pia haifahamu amekariri tu mistari ya Quran.
Alikuwa aanzisha nyuzi daily, Netanyau kauawa, Israel wamehukumiwa kufungwa, Netanyau amejificha. Kila anachoambiwa na Shekhe Ubwabwa anakuja kuanzishia uzi bila hata kuchambua. Nikajua tu hapa Elimu ndo shida. Za kuambiwa hachanganyi na zake. Ni kama Mbayuwayu tu.
Si unasemaga ni taifa teule? Sasa unaona ni sawa taifa la Mungu kuwa kitovu cha ushoga duniani?
Kuacha ushoga ni rahisi kuliko uuaji? Are you serious? By the way Netanyahu ana support yote mawili
Na atafungwa otherwise ataondolewa ofisini. Jizi alafu eti taifa teule
Israel inajali? Kukataa watoto wasipewe chakula hadi wafe kwa njaa ndio.kujali utu?
Kwa hio we chizi umzidi akili Ritz hahaha we mwenyewe unajita chizi Maarifa kiujumla we umekiri ni chizi katika ma chizi.
Ritz ana point sa leo nani tena ataiamini mahakama ya dunia kama hawamshiki huyo Netanyau, hio ICC iliwekwa kwa ajili ya Warabu na Wafrika sa leo nani watamfunga, wakitaka kumfunga Mwafrica au Mwarabu atawambia anzeni na Netanyau na Putin kwanza.
Sasa unapora ardhi alafu unashangaa kuwa na maadui? Hivi ni nchi gani wayahudi wanapendwa? Wana kiherehere sana na fitna nyingi. Kama sio back up ya USA wangeshapotezwaLakini je ukiangalia wanachofanya na kuzungukwa na maadui haiwezekani ikawa ni kweli?
Mimi sio shoga niwe na ID humu zaidi ya moja, inataka uwe shoga kuwa na ID zaidi ya moja sababu vidole vimeisha regezwa 🤣Una ID nying ritz. Zimefika 4 sasa. Sentensi ya chini sasa ungeandika ukijijibu kwa ID yako ya ritz. Hata Mwarabu sidhani kama hiyo mahakama inamhusu. Inawahusu MAAFRIKA YASIYOJITAMBUA.
Sasa unapora ardhi alafu unashangaa kuwa na maadui? Hivi ni nchi gani wayahudi wanapendwa? Wana kiherehere sana na fitna nyingi. Kama sio back up ya USA wangeshapotezwa
Mimi sio shoga niwe na ID humu zaidi ya moja, inataka uwe shoga kuwa na ID zaidi ya moja sababu vidole vimeisha regezwa 🤣
Wenye ID nyingi humu ni wakanisa tu wanadhani watalipwa mshahara kuwa na ID nyingi.
Wewe endelea kujilizaliza tu!!Sasa unapora ardhi alafu unashangaa kuwa na maadui? Hivi ni nchi gani wayahudi wanapendwa? Wana kiherehere sana na fitna nyingi. Kama sio back up ya USA wangeshapotezwa
Wafuga Midevu na Majini hawawezi kukuelewa maana wamejazwa Chuki za kijinga na waarabu!!!Lakini kwa mujibu wa Biblia yao Taurati ardhi ni yao na waligawa na wenzao kwa amani tu. Mi nmefuatilia sana huu mgogoro zamani nasi tulikuwa tumepandikizwa hiyo chuki.
Mbona kuna watu wengi tu wanawapenda wayahudi? Kupotezwa hawawezi trust me.
Mi niliposoma ile ya Hitler na 7day war. Nikajikuta nawakubali sana. Hawa jamaa si wa kawaida. Hawa jamaa wana kitu si cha kawaida trust me.
Wafuga Midevu na Majini hawawezi kukuelewa maana wamejazwa Chuki za kijinga na waarabu!!!
Biblia gani imesema hivyo? Maana najua Ardhi alipewa Abrahamu na ana watoto wa kiume 6 cha ajabu Yakobo/ Israel ni mmoja tu wa wajukuu kati ya wajukuu zaidi ya 40!! wa Abraham sasa kajimilikisha vipi ardhi yote mwenyewe?Lakini kwa mujibu wa Biblia yao Taurati ardhi ni yao na waligawa na wenzao kwa amani tu. Mi nmefuatilia sana huu mgogoro zamani nasi tulikuwa tumepandikizwa hiyo chuki
Wapi wanapopendwa? Wayahudi kote walipoishi walikuwa wanachinjwa sio Ufaransa, Spain, Germany, Austria n.k. they are a cancer ndio maana walimuua hata Yesu!!Mbona kuna watu wengi tu wanawapenda wayahudi?
Ni wa kawaida tu sema USA inawabeba.Hawa jamaa si wa kawaida. Hawa jamaa wana kitu si cha kawaida trust me.
Nani analia lia? Sio Netanyahu aliyelialia vita iishe!!Wewe endelea kujilizaliza tu!!
Tatizo lenu ndo hili mnadhani kila anayepinga hao dhalimu ni muislam. Mimi ni mkristo hata thread zangu nyingi za biblia zipo humu. ila ni mkristo nayejitambua sijawa brainwashed na hao matapeli wa kizungu wanaojiita wayahudi.Wafuga Midevu na Majini hawawezi kukuelewa maana wamejazwa Chuki za kijinga na waarabu!!!