Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
- Thread starter
-
- #21
Biblia gani imesema hivyo? Maana najua Ardhi alipewa Abrahamu na ana watoto wa kiume 6 cha ajabu Yakobo/ Israel ni mmoja tu wa wajukuu kati ya wajukuu zaidi ya 40!! wa Abraham sasa kajimilikisha vipi ardhi yote mwenyewe?
Wapi wanapopendwa? Wayahudi kote walipoishi walikuwa wanachinjwa sio Ufaransa, Spain, Germany, Austria n.k. they are a cancer ndio maana walimuua hata Yesu!!
Ni wa kawaida tu sema USA inawabeba.
Tatizo lenu ndo hili mnadhani kila anayepinga hao dhalimu ni muislam. Mimi ni mkristo hata thread zangu nyingi za biblia zipo humu. ila ni mkristo nayejitambua sijawa brainwashed na hao matapeli wa kizungu wanaojiita wayahudi.
Smart kwa kipi? Walikua matapeli na ndio waasisi wa mikopo ya riba so walikua wanalala ndani tu wanaishi kwa riba "usury". Ndio waasisi wa mabenki pia wanachukua deposits wanakopesha kwa riba kubwa alafu wanakupa returns ndogo. So wamezoea kutajirika kupitia shida za watu.Kuchukiwa ni sababu wap smart
Na hapa ndio mnachemka, 20% ya waisraeli ni waislam na 30% ya waisrael ni waarabu!! Nao pia unawachukia? Msiweke hii vita kidini mnakosea sana.Mimi si Dini hiyo. Na si dhambi kupinga maana mitazamo inatofautiana. Mimi waarabu kwa kweli hapana. Wengi ni wakatili sana na hawana upendo kwa dini nyingine. Nami nilikuwa hivyo. Wewe Zitto ni Muislamu
Smart kwa kipi? Walikua matapeli na ndio waasisi wa mikopo ya riba so walikua wanalala ndani tu wanaishi kwa riba "usury". Ndio waasisi wa mabenki pia wanachukua deposits wanakopesha kwa riba kubwa alafu wanakupa returns ndogo. So wamezoea kutajirika kupitia shida za watu.
So walichukiwa sana kwa sababu ya utapeli wao.
Na hapa ndio mnachemka, 20% ya waisraeli ni waislam na 30% ya waisrael ni waarabu!! Nao pia unawachukia? Msiweke hii vita kidini mnakosea sana.
Hao taifa teule wana waislam wengi kuliko wakristo una maoni gani au hau waislam wa Israel nao ni makafiri tu?
Ndio hoja yangu sasa kuwa mambo ya kukopesha na mfumo wa benki ulianza kwao ili kunufaika kupitia riba!!Sasa hizo ni chuki za kimaskini. Nitajie bank ambayo wanakupopesha tsh 50,000 na unarudisha hiyo hiyo. Nitajie.
Nijibu swali langu kwamba hao waarabu ambao ni 30% ya raia wote wa Israel nao unajifunza kwao?? Au unajifunza tu kwa wayahudi walio 60%?Mimi siwaangalii kwa mlengo wa kidini. Kumbe tunapishana hapo. Mimi dini yao hainihusu. Uwezo wao ndo unanivutia. Jamaa tunawachukia ila wapo vizuri. Dini yao ni yao mi hainisaidii kitu. Ila nina mengi ya kujifunza ya msingi ya kijinga naachana nayo.
Tofautisha gunduzi zinazotambulika na zisizo tambulika. Mfano tafiti nyingi tu za mrusi hao wamarekani hawazitambui same to za China n.k So kama unafuata western media utaona hakuna tafiti nje ya wazungu na wayahudi!!Angalia takwimu za wagunduzi wakubwa Duniani. Wengi wao ni asili ya wapi?
Ndio hoja yangu sasa kuwa mambo ya kukopesha na mfumo wa benki ulianza kwao ili kunufaika kupitia riba!!
Na ndio maana Shariah financing kama CRDB Al Barakah, KCB Sahl banking etc zinatoa huduma za kibenki zinazoondoa mambo ya riba. Na ndio banking segment inayokua kwa kasi zaidi duniani. Nadhani umeona kuna hadi Shariah Bonds "Sukuk"!! Zote hizi zinaondoa mambo ya riba za kiyahudi.
Jiongeze elimu inaonekana hujui mambo mengi sana
Tofautisha gunduzi zinazotambulika na zisizo tambulika. Mfano tafiti nyingi tu za mrusi hao wamarekani hawazitambui same to za China n.k So kama unafuata western media utaona hakuna tafiti nje ya wazungu na wayahudi!!
Nijibu swali langu kwamba hao waarabu ambao ni 30% ya raia wote wa Israel nao unajifunza kwao?? Au unajifunza tu kwa wayahudi walio 60%?
Najua sana products za islamic banking kuna Musharakah, Mudarabah, Ijarah zipo benki nyingi kwa sasa hata nshaandika papers za kutosha so hakuna nisichojua kwenye banking sector. Narudi pale pale uliuliza riba ndio nmekwambia hakuna!!! Hizo cost zingine call it anything ila sio riba!! Ni sawa tu na conventional banking hukatwi riba pekee kuna retention fees sijui service levy n.k makato kibao nje ya riba so nothing new here.Pole sana. Unadhani unajua kumbe hujui. Unaifaham Amana Bank? Wanakuambia wanatoa mkopo bila riba. Ile nenda kaangalie gharama za kupata huo mkopo ambazo hazirudi. Ni riba in kind. Unaonekana unadanganyika kwa mambo mengi madogo madogo fungua akili. Mkopo hulazimishwi kama hutaki achaba nao.
Kama hivyo mbona tafiti kibao za Germany ya Hitler hazitambuliki? Au tafiti za misri ya kale hazitambuliki. Imagine hata ziwa Victoria eti lilivumbuliwa na mzungu sijui kilimanjaro eti mzungu ndio alivumbua!! Ina maana watu walioishi pale walikua hawajui ni mlima ule??Ugunduzi hauhitaji kutambulika. Unahitaj kutumika. 😀
Visingizio uchwara vinakusumbuaBiblia gani imesema hivyo? Maana najua Ardhi alipewa Abrahamu na ana watoto wa kiume 6 cha ajabu Yakobo/ Israel ni mmoja tu wa wajukuu kati ya wajukuu zaidi ya 40!! wa Abraham sasa kajimilikisha vipi ardhi yote mwenyewe?
Wapi wanapopendwa? Wayahudi kote walipoishi walikuwa wanachinjwa sio Ufaransa, Spain, Germany, Austria n.k. they are a cancer ndio maana walimuua hata Yesu!!
Ni wa kawaida tu sema USA inawabeba.
Acha kujipendekeza kwa Wakristo were ni Mfuga midevu na Majini maneno yako yanakutambulisha hivyo!!!Tatizo lenu ndo hili mnadhani kila anayepinga hao dhalimu ni muislam. Mimi ni mkristo hata thread zangu nyingi za biblia zipo humu. ila ni mkristo nayejitambua sijawa brainwashed na hao matapeli wa kizungu wanaojiita wayahudi.
Jibu swaliVisingizio uchwara vinakusumbua
Mbona Gwajima ni Askofu na anapinga mauaji ya Gaza!! una akili mbovu sana wewe. Hata Nyerere na Mandela wote waliunga mkono palestina kwani waislam? Una akili mbovu sana kudhani kila anayechukia wayahudi mkristoAcha kujipendekeza kwa Wakristo were ni Mfuga midevu na Majini maneno yako yanakutambulisha hivyo!!!
Hakuna Mkristo mwenye roho mbaya, Mwenye kupotosha na kusema uongo kama were!!!
Hakuna aliyekuuliza dining yako kiherehere chako tu kujipendekeza kwa Wakristo!!!
Ha ha ha.... Hakuna tofauti na ansyesema unaoa bila mahari ila anakuja kukwambia unatakiwa ulipie gharama za matunzo. Tunapenda sana unafiq na ulaghai. Unaandika usichokijua.Najua sana products za islamic banking kuna Musharakah, Mudarabah, Ijarah zipo benki nyingi kwa sasa hata nshaandika papers za kutosha so hakuna nisichojua kwenye banking sector. Narudi pale pale uliuliza riba ndio nmekwambia hakuna!!! Hizo cost zingine call it anything ila sio riba!! Ni sawa tu na conventional banking hukatwi riba pekee kuna retention fees sijui service levy n.k makato kibao nje ya riba so nothing new here.
Ritz Yuko kidini zaidi.Once a Kobaz always a Kobaz. Nlikuwa namsoma Ritz akishaambiwa maneno na sheikh ubwabwa anakuja anzisha uzi JF na tatizo la Ritz lugha ya Kibeberu pia haifahamu. Ya kisunna pia haifahamu amekariri tu mistari ya Quran.
Alikuwa aanzisha nyuzi daily, Netanyau kauawa, Israel wamehukumiwa kufungwa, Netanyau amejificha. Kila anachoambiwa na Shekhe Ubwabwa anakuja kuanzishia uzi bila hata kuchambua. Nikajua tu hapa Elimu ndo shida. Za kuambiwa hachanganyi na zake. Ni kama Mbayuwayu tu.