Ritz, Hawa Mayahudi mpaka sasa wangapi wameshafungwa kwa kufuata yale maamuzi ya SA?


Huyo ana matatizo ya akili, njaa na umaskini uliotopea.
 
Nafikiri unazungumzia kesi ya ICC! bado kesi inaendelea ijapokuwa kumekuwa na jitihada nyingi za kuhakikisha ICC haisikikizi tena hiyo kesi, jitihada sio kwamba ni halali lah! Jitihada chafu ikiwemo na US kuwawekea vikwazo Majaji wa Mahakama hiyo, kufungia A/C za bank, kuwapa kesi za uongo waendesha mashtaka etc! Kimsingi US na EU wanaigopa Mahakama ya ICC na wao hawakotayari kushtakiwa huko na ndiyo maana ata leo huwezi kumshtaki raia wa Marekani huko ICC, Us ana sheria inayomtaka Rais kuunda kikosi cha jeshi (Special force) kwenda kumchukua raia wao ambae anashtakiwa na Mahakama ya uharifu.
 

Wangekuwa wanaiogopa wasingekuwa wanawanyanyasa hao majaji na kufungia accounts zao. Leo wewe unaweza fungia accounts au kuzuia msafara wa Rais? Lakini wa wapinzani wa Rais? Nadhani umeelewa. Wanachofanya ni kuwa disturb na kuwaonesha si kitu. Ungeniambia wana wahonga ngesema Yes wanawaogopa kumbe kinyume chake wana wanyanyasa . Na kuonesha Netanyau haogopi anaendelea kuwatwanga maadui zake popote walipo. UMEELEWA SASA? MUWE MNATUMIA UBONGO KUFIKIRI.
 
Mbona Gwajima ni Askofu na anapinga mauaji ya Gaza!! una akili mbovu sana wewe. Hata Nyerere na Mandela wote waliunga mkono palestina kwani waislam? Una akili mbovu sana kudhani kila anayechukia wayahudi mkristo
Acha kujipendekeza kwa Wakristo kwa kuwa Mandela na Nyerere waliunga mkono wapalestina basi na wewe zuzu lazima uważnie mkono!!! Mandela na Nyerere wali wafungwa mkono wapalestina kwa sababu ya shinikizo lililowekwa na nchi za OPEC nyakati hizo Waliita “Fuel-Crisis” kipindi hicho mama yako alikuwa bado kuzaliwa nenda ka-Gugu utaona!!!

Na kama wewe Una Junga mkono Gwajima Nenda kamwambie awafufue Yahya Sinwar, Ismail Khaniyyeh na Hassan Nasrallah ndipo uje hapa kubwabwaja ujinga wako!!!
 
Mandela na Nyerere wali wafungwa mkono wapalestina kwa sababu ya shinikizo lililowekwa na nchi za OPEC nyakati hizo Waliita “Fuel-Crisis” kipindi hicho mama yako alikuwa bado kuzaliwa nenda ka-Gugu utaona!!!
Acha utoto wewe, Israel ilikua inaunga mkono serikali ya makaburu kutesa weusi huko Afrika Kusini je walikua sahihi. Una maoni gani kwa Israel kuwa support Makaburu kuchakata nuclear ili waje kujihami dhidi ya watu weusi? Je walikua sahihi kusupport makaburu.

Naomba ujibu hili
 
Na kama wewe Una Junga mkono Gwajima Nenda kamwambie awafufue Yahya Sinwar, Ismail Khaniyyeh na Hassan Nasrallah ndipo uje hapa kubwabwaja ujinga wako!!
Gwajima ni askofu mwenye matawi elfu 2 na washirika zaidi ya laki 8 wewe una nini mpaka ujue dini kuliko Gwajima? Pia papa aliyefariki aliunga mkono Palestina je wewe na Papa Francis nani anajua dini kuliko wewe.
 
Gwajima ni askofu mwenye matawi elfu 2 na washirika zaidi ya laki 8 wewe una nini mpaka ujue dini kuliko Gwajima? Pia papa aliyefariki aliunga mkono Palestina je wewe na Papa Francis nani anajua dini kuliko wewe.
Naona akili yako ni ya kimarehemu Papa Francis unapaswa ufe ukaungane naye huko kuzimu!!!

Nani alikudanganya Gwajima ana washirika laki nane??? Hata wawe wawili kuna haki gani kuwanyima haki ya kuabudu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…