Alifunga goli 2-1 akafungwa 6 sasa kuna timu hapo. Ukweli huko shirikisho timu afadhali ni pyramid na FAR Rabat nyingine zote ni level za akina Namungo.Mwaka huu mtalalamikia kila timu ni mbovu zinazocheza na Yanga. Kwani Rivers iliyomfunga Wydad goli mbili msimu huu ni rivers ipi? Quality ya Yanga ime mprove ndio maana unaona kuna gape kubwa kati ya timu zinazocheza nazo
Lakini nyumbani kwao si alimfunga Wydad? Timu mbovu ingeanzia kufungwa kwanzia wakiwa kwao.Alifunga goli 2-1 akafungwa 6 sasa kuna timu hapo. Ukweli huko shirikisho timu afadhali ni pyramid na FAR Rabat nyingine zote ni level za akina Namungo.
Andika VizuriUna kopaji cha umbea kama sio majungu.
Waombee Memariver ni timu mbovu ila uto lazima walowanishwe tu.....
Mwaka huu mtalalamikia kila timu ni mbovu zinazocheza na Yanga. Kwani Rivers iliyomfunga Wydad goli mbili msimu huu ni rivers ipi? Quality ya Yanga ime mprove ndio maana unaona kuna gape kubwa kati ya timu zinazocheza nazo
river ni timu mbovu ila uto lazima walowanishwe tu.....