River ni mbovu KULIKO Ruvu shooting, Yanga asipopita nusu fainal nitawadharau sana

River ni mbovu KULIKO Ruvu shooting, Yanga asipopita nusu fainal nitawadharau sana

je parle

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
2,022
Reaction score
3,919
Hawa River sijui wamefikaje robo fainal. Hii timu hata Ruvu shooting Wana afadhali

INAONEKANA ligi ya wapopo ni dhaifu kama ligi ya visiwani Zanzibar.

No hard feeling, Yanga anatakiwa kuvuka japo wataongea sana ila tukubali huu mwaka jamaa wamepata kismart sana

Timu wanazokutana nazo ni Zalan fc tupu.
 
Mwaka huu mtalalamikia kila timu ni mbovu zinazocheza na Yanga. Kwani Rivers iliyomfunga Wydad goli mbili msimu huu ni rivers ipi? Quality ya Yanga ime improve ndio maana unaona kuna gape kubwa kati ya timu zinazocheza nazo
 
Mwaka huu mtalalamikia kila timu ni mbovu zinazocheza na Yanga. Kwani Rivers iliyomfunga Wydad goli mbili msimu huu ni rivers ipi? Quality ya Yanga ime mprove ndio maana unaona kuna gape kubwa kati ya timu zinazocheza nazo
Alifunga goli 2-1 akafungwa 6 sasa kuna timu hapo. Ukweli huko shirikisho timu afadhali ni pyramid na FAR Rabat nyingine zote ni level za akina Namungo.
 
Timu mbovu kama vile inashiriki daraja la pili huko kwao.

Utopolo wanaonekana bora wakati tuliwanyoa vizuri sana tu[emoji1787][emoji1787].
 
Alifunga goli 2-1 akafungwa 6 sasa kuna timu hapo. Ukweli huko shirikisho timu afadhali ni pyramid na FAR Rabat nyingine zote ni level za akina Namungo.
Lakini nyumbani kwao si alimfunga Wydad? Timu mbovu ingeanzia kufungwa kwanzia wakiwa kwao.
 
habari yenu mtaipata mechi marudiano tarehe 28, Waydad watatoa kipigo cha paka mwizi
 
Mwaka huu mtalalamikia kila timu ni mbovu zinazocheza na Yanga. Kwani Rivers iliyomfunga Wydad goli mbili msimu huu ni rivers ipi? Quality ya Yanga ime mprove ndio maana unaona kuna gape kubwa kati ya timu zinazocheza nazo

Case Closed.
 
Back
Top Bottom