River United FC ya sasa ni Bora kuliko ya mwaka Juzi hivyo natangaza rasmi Kuishabikia

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nichukue nafasi hii kuipongeza River United kwa Kupangiwa na Mpinzani yoyote yule aliyepatikana na kuna Uwezekano aliyepangiwa nae akapigwa nyingi Nigeria na za kutosha pia Kwao na kutupwa kabisa nje na River United FC kwenda Nusu Fainali na hata kuwa Mabingwa.

Tutaelewana tu kuanzia hatua hii. Tumejitapa mno na wakati wa Kulia, Kulaumiana, Kumfukuza na Kumkataa Kocha huku tukichapana Bakora umewadia.

Kudadadeki....!!!!!!
 
Aahaaaaaaah

Naiscreenshot hii post

Usijeukaikana tu
 
Popoma kutaka kutrend jf lazima atafute kijambo Cha hovyohovyo tu😅..
 
Nichukue nafasi hii kuipongeza River United kwa Kupangiwa na Mpinzani yoyote yule aliyepatikana na kuna Uwezekano aliyepangiwa nae akapigwa nyingi Nigeria na za kutosha pia Kwao na kutupwa kabisa nje na River United FC kwenda Nusu Fainali na hata kuwa Mabingwa.

Tutaelewana tu kuanzia hatua hii. Tumejitapa mno na wakati wa Kulia, Kulaumiana, Kumfukuza na Kumkataa Kocha huku tukichapana Bakora umewadia.

Kudadadeki....!!!!!!
Hakuna shida we washabikie na sisi tutamshabikia mpinzani wako kudadadeki

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Nichukue nafasi hii kuipongeza River United kwa Kupangiwa na Mpinzani yoyote yule aliyepatikana na kuna Uwezekano aliyepangiwa nae akapigwa nyingi Nigeria na za kutosha pia Kwao na kutupwa kabisa nje na River United FC kwenda Nusu Fainali na hata kuwa Mabingwa.

Tutaelewana tu kuanzia hatua hii. Tumejitapa mno na wakati wa Kulia, Kulaumiana, Kumfukuza na Kumkataa Kocha huku tukichapana Bakora umewadia.

Kudadadeki....!!!!!!
Mkuu huu uzi usije ukaukimbia badae, ni bora uanze mapema kuwasiliana na wale wafanyakazi wa motuary ya mwananyamala kuona ni namna gani watawapatieni maji ya maiti kwenda kuuroga uwanja kwenye mechi yenu dhidi ya whydad casablanca, bila ivyo wakina onyango wataenda kuulizwa umri wao halisi pale kwa mkapa na kule morocco🤣🤣
 
Rivers United ndio ilikuwa timu dhaifu kati ya zile 3. Labda km hufuatilii mbira na umekariri. Hebu nikumbushe ni lini mara ya mwisho kwa klabu ya Nigeria kufanya vizuri kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Barani Afrika?
 
Labda kwa Kuroga na Kununua Mechi au kwa Kuwahonga Wachezaji na Kamisaa kama tulivyofanya katika Mechi Tatu Nne za Kimataifa huku mkisaidiwa na Waandamizi Wawili kutoka TFF.

Kama MLIVYOFANYA…???

Bas sawa..!!! Ila ungekuja kusema humu kwamba mlihonga wachezaji na kamisaa na njia mlizotumia ili Yanga nao wajifunze hizo mbinu za kibabe…!!!
 
FB_IMG_1680371672550.jpg
 
Mpira dk 90, Mikia msikate tamaa kiasi hicho.........kila hatua Ina namna yake kucheza sema yanga tunafaida kuanzia ugenini tu ila game zote ngumu........ wengi wanaona Yanga tuna mtelemko lakini mpira hauko hivyo inatakiwa uheshimiwe
 
Back
Top Bottom