River United FC ya sasa ni Bora kuliko ya mwaka Juzi hivyo natangaza rasmi Kuishabikia

River United FC ya sasa ni Bora kuliko ya mwaka Juzi hivyo natangaza rasmi Kuishabikia

Hivi kama Yanga ilifungwa na Simba goals 2 Kwa sifuri, Rivers ingecheza na Simba si ingefungwa 7??
Mkuu Yanga ni sawa na karunguyeye , ni rahisi sana kumuweka kwenye mfuko wako wa suruali tatizo lipo kwenye kumtoa, nyie simba mmemuweka mfukoni mtapata shida kumtoa mfukoni.
 
Endeleeni kuishabikia tu mkuu, ila kumbuka una kibarua kizito huko Morocco, we jitie kimbelembele tu.
Nichukue nafasi hii kuipongeza River United kwa Kupangiwa na Mpinzani yoyote yule aliyepatikana na kuna Uwezekano aliyepangiwa nae akapigwa nyingi Nigeria na za kutosha pia Kwao na kutupwa kabisa nje na River United FC kwenda Nusu Fainali na hata kuwa Mabingwa.

Tutaelewana tu kuanzia hatua hii. Tumejitapa mno na wakati wa Kulia, Kulaumiana, Kumfukuza na Kumkataa Kocha huku tukichapana Bakora umewadia.

Kudadadeki....!!!!!!
 
Back
Top Bottom