GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
AahaaaaaaahNichukue nafasi hii kuipongeza River United kwa Kupangiwa na Mpinzani yoyote yule aliyepatikana na kuna Uwezekano aliyepangiwa nae akapigwa nyingi Nigeria na za kutosha pia Kwao na kutupwa kabisa nje na River United FC kwenda Nusu Fainali na hata kuwa Mabingwa.
Tutaelewana tu kuanzia hatua hii. Tumejitapa mno na wakati wa Kulia, Kulaumiana, Kumfukuza na Kumkataa Kocha huku tukichapana Bakora umewadia.
Kudadadeki....!!!!!!
Kikubwa tumejihakikishia kushiriki mwakani TenaMakolo mwendo mmeumaliza
Hakuna shida we washabikie na sisi tutamshabikia mpinzani wako kudadadekiNichukue nafasi hii kuipongeza River United kwa Kupangiwa na Mpinzani yoyote yule aliyepatikana na kuna Uwezekano aliyepangiwa nae akapigwa nyingi Nigeria na za kutosha pia Kwao na kutupwa kabisa nje na River United FC kwenda Nusu Fainali na hata kuwa Mabingwa.
Tutaelewana tu kuanzia hatua hii. Tumejitapa mno na wakati wa Kulia, Kulaumiana, Kumfukuza na Kumkataa Kocha huku tukichapana Bakora umewadia.
Kudadadeki....!!!!!!
Labda kwa Kuroga na Kununua Mechi au kwa Kuwahonga Wachezaji na Kamisaa kama tulivyofanya katika Mechi Tatu Nne za Kimataifa huku mkisaidiwa na Waandamizi Wawili kutoka TFF.Na yanga nayo siyo ile imeimarika sana
Mkuu huu uzi usije ukaukimbia badae, ni bora uanze mapema kuwasiliana na wale wafanyakazi wa motuary ya mwananyamala kuona ni namna gani watawapatieni maji ya maiti kwenda kuuroga uwanja kwenye mechi yenu dhidi ya whydad casablanca, bila ivyo wakina onyango wataenda kuulizwa umri wao halisi pale kwa mkapa na kule morocco🤣🤣Nichukue nafasi hii kuipongeza River United kwa Kupangiwa na Mpinzani yoyote yule aliyepatikana na kuna Uwezekano aliyepangiwa nae akapigwa nyingi Nigeria na za kutosha pia Kwao na kutupwa kabisa nje na River United FC kwenda Nusu Fainali na hata kuwa Mabingwa.
Tutaelewana tu kuanzia hatua hii. Tumejitapa mno na wakati wa Kulia, Kulaumiana, Kumfukuza na Kumkataa Kocha huku tukichapana Bakora umewadia.
Kudadadeki....!!!!!!
Labda kwa Kuroga na Kununua Mechi au kwa Kuwahonga Wachezaji na Kamisaa kama tulivyofanya katika Mechi Tatu Nne za Kimataifa huku mkisaidiwa na Waandamizi Wawili kutoka TFF.