River United FC ya sasa ni Bora kuliko ya mwaka Juzi hivyo natangaza rasmi Kuishabikia

Hivi kama Yanga ilifungwa na Simba goals 2 Kwa sifuri, Rivers ingecheza na Simba si ingefungwa 7??
Mkuu Yanga ni sawa na karunguyeye , ni rahisi sana kumuweka kwenye mfuko wako wa suruali tatizo lipo kwenye kumtoa, nyie simba mmemuweka mfukoni mtapata shida kumtoa mfukoni.
 
Endeleeni kuishabikia tu mkuu, ila kumbuka una kibarua kizito huko Morocco, we jitie kimbelembele tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…