njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
ana tofauti gana na wale wa kochi jeupe bila banners za sponsors?Yani mchezaji anajaza mkataba bar seriously?
Rivers utd tuko pre season Benin ya teams za west africa tumewekeza kwenye matayarisho na siyo propaganda mfu za kununua furaha za bandiaUnateseka ukiwa wapi ndugu
Kama timu inaishi bar unataka ajaze wapi huo mkataba?Yani mchezaji anajaza mkataba bar seriously?
Wepi hao tena picha tafadhali? Ili nifananisheana tofauti gana na wale wa kochi jeupe bila banners za sponsors?
nimekuelewa.Kama timu inaishi bar unataka ajaze wapi huo mkataba?
Hujanielewa naomba kujibiwa. Kama timu inaishi bar unataka ajaze wapi huo mkataba?nimekuelewa.
barHujanielewa naomba kujibiwa. Kama timu inaishi bar unataka ajaze wapi huo mkataba?
atleast siyo batiki wala hazina silhoutes za wamama wajawazitoHata ukiangalia jez zao na muonekano wa ubora wake unaafiki tu kuwa hii ni timu ndogo.
Oyaaa! π π πYani mchezaji anajaza mkataba bar seriously?
Sasa Wewe Unamkata Maini Mleta Mada.Hata ukiangalia jez zao na muonekano wa ubora wake unaafiki tu kuwa hii ni timu ndogo.
kiki imezimwa na gaidi la kisomali rudieni keshoTuko bize na Jezi Mpya na Manara kwanza.
kocha wao analia muunganiko wa team anataka miezi mitatu wako bize kumshangilia manara kwamba atawafikisha nusu fainali ya afrika