Rivers United tumesajili majembe mawili

Rivers United tumesajili majembe mawili

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Habari njema kwetu mashabiki wa Rivers United tumesajili majembe mawili ya kazi, karibuni sana kutoa comments zenu msisahau pia tuko katika michuano maalumu inayofanyika huko Benin ikishirikisha top clubs za west africa kujiandaa na klabu bingwa, matayarisho ni muhimu sana

Tumemsajili Branabas Daniel kutoka Gombe utd kwa mkataba wa mwaka mmoja na Auwal Malim jamaa hatari kutoka Kano pillars aliyegongesha magoals 45 katika misimu 4

TUNARUSHUSIWA PIA KUINGIA DM,INBOX ZAO KUWAPA MBINU MBALIMBALI ZITAKAZOTUMIAKA HAPA DSM SIKU HIYO YA TAEREHE 12 KAMA AMBAVYO MIMI NAFANYA KWA WEEK YOTE HII NA WAMEKUWA WAKINISHUKURU SANA KWA INFORMATION ZANGU

barnabas daniel.jpeg
auwal.jpeg
 
ID yako inasema kila kitu kwann upo kwenye timu ya familia
 
Unateseka ukiwa wapi ndugu
Rivers utd tuko pre season Benin ya teams za west africa tumewekeza kwenye matayarisho na siyo propaganda mfu za kununua furaha za bandia

West African Challenge Cup
Last season, the Pride of Rivers had an unsuccessful outing in the Caf Confederation Cup qualifiers as they were knocked out by rivals Enyimba on penalties after a 1-1 draw on aggregate.

List of participating teams
1. Hearts of Oak (Ghana)2. Union Sportive de la Gendarmerie Nationale (Niger)3. Horoya Athletic Club (Guinea)4. Arta Solar 7 (Djibouti)5. Loto-Popo FC (Benin)6. AS Vita Club (Congo)7. AS Sonabel FC (Burkina Faso)8. Les Buffles (Benin)9. Rivers United FC (Nigeria)
 
Hata ukiangalia jez zao na muonekano wa ubora wake unaafiki tu kuwa hii ni timu ndogo.
 
Hata ukiangalia jez zao na muonekano wa ubora wake unaafiki tu kuwa hii ni timu ndogo.
Sasa Wewe Unamkata Maini Mleta Mada.

Mwenyewe Alidhani Anawakera, Sasa Mnamkera Nyinyi. 😂😂
 
Back
Top Bottom