Rivers United vs Young Africans(1-0) | CAFCL

RIVERS UNITED 0-0 YANGA

Dakika ya 79 Rivers walifanya shambulizi zuri lakini wakachelewa kumalizia Mwamnyeto akaokoa akichukua mpira mguuni kwa mshambuliaji Moses Omoduemuke
 
Acha usumbufu ushapigwa huko
 
Warudishe ndege yetu sasa..ooh kumbe siyo wao walioingia mkataba na ATC [emoji1787][emoji1787]
 
RIVERS UNITED 0-0 YANGA

Dakika ya 79 Rivers walifanya shambulizi zuri lakini wakachelewa kumalizia Mwamnyeto akaokoa akichukua mpira mguuni kwa mshambuliaji Moses Omoduemuke
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
RIVERS UNITED 1-0 YANGA

Dakika ya 81 Rivers United walipata bao likifungwa na Uche Onwuasonaja aliyeingia kipindi cha pili akifunga kwa shuti kali wakigongeana vizuri.
 
🐸🐸🐸🐸🐸🐸 hayooooo kigoda tu yanashindwa kupindua itakuwa meza 🤣🤣
 
Back
Top Bottom