Rivers United vs Young Africans(1-0) | CAFCL

Rivers United vs Young Africans(1-0) | CAFCL

RIVERS UNITED 1-0 YANGA

Dakika ya 81 Rivers United walipata bao likifungwa na Uche Onwuasonaja aliyeingia kipindi cha pili akifunga kwa shuti kali wakigongeana vizuri.

Mfungaji mwenyewe ndio huyu aliyenunua jezi ya Simba walipokuja Bongo

1632071183127.png
 
Jamani tushafungwa tushatolewa sasa tuje kujenga timu

Kosa kubwa ilikuwa ni pre season maana walikoipepeka ilienda kupigwa pin na watani zao
 
Poleni sana watani zangu.

Mvumilieni Manara mafanikio yanakuja, yeye ni mtaalamu wa kuijenga timu mpaka ikapata mafanikio makubwa nje na ndani ya nchi.

Tukutane ngao ya hisani
 
Back
Top Bottom