ILIPOISHIA
“Ehehee sihitaji maswali, wewe utamnunulia chipsi na kuwa makini. Mazoea ya kijinga kwa huyu bibie mimi siyahitaji ukifanya hivyo tutagombana kwa kweli”
“Ahaa bosi Erick mbona mimi unajua sinaga hiyo tabia. Ni wangapi wanakuja hapa na wanaondoka salama”
“Wewe jisafishe tu, ukiona nimechelewa kukutumia, tumia pesa yako”
“Sawa bosi”
Nikatoka getini na kueleka kwa mama Rose, sikuchukua muda mrefu nikafika nyumbani kwake na kumpigi simu.
“Nipo nje”
“Ingia ndani”
Sikuwa na ubishi zaidi ya kushuka kwenye gari huku nikidhamiria moyoni mwangu nina hakikisha kwamba ninakwenda kuifuta video ambayo mama Rose ananitesa nayo na kuhitaji mimi kuwa mtumwa wa ngono kwenye maisha yake.
ENDELEA
“Habari za asubuhi”
Niliwasalimia wana mama walio kaa kwenye kordo ya nyumba hii wakipika chakula.
“Salama”
Mmoja wao aliitikia na mwengine hakuitikia salamu yangu zaidi ya kubaki akiwa amenikodolea macho tu. Nikabisha hodi kwenye mlango wa mama Rose na akaniruhudu kuingia ndani. Nikaingia na kumkuta mama Rose akiwa kama alivyo zaliwa, amesimama mbele ya kioo cha dreasing table akijipaka mafuta.
“Funga mlango na karibu ukae hapo”
“Asante”
Nikaka kwenye group huku nikimtazama mama yangu mkwe huyu ambaye hana hata aibu mbele yangu na anatumia ugomvi wangu mimi na Rose kujivutia upande wake.
“Ninajiandaa hapa twende tukamuone Rose”
“Sawa mama”
“Ukiwa na mimi usipende kuniita mimi mama”
“Okay nimekuelewa”
Mama Rose akavaa nguo ya ndani, akafwata na gauni lililo bana mwili wake vizuri. Alipo hakikisha kwamba amejiandaa, akanipa mfuko mweusi wenye mahot pot mawili pamoja na chupa.
“Twende kwenye gari”
Nikaanza kutoka mimi na kumuacha mama Rose akiufunga mlango wake na kuwaaga wapangaji wezake. Nikauweka mfuko siti ya nyuma kwenye gari, na kukaa siti ya mbele na kumsubiria mama Rose kuingia kwenye gari.
“Pafyumu yako inanukia vizuri”
Mama Rose alizungumza huku akijifunga mkanda wa siti ya gani.
“Asante baby”
“Waoo leo hii unaniita baby”
“Yaa tumefungua ukurasa mpya wa mapenzi kati yako wewe na mimi. Sasa nikwa ni kwa nini nisikuite baby au hupendi?”
Nilizunguza maneno ya kumridhisha tu mama Rose kwa maana ukihitaji kula na kipofu si lazima umshike mkono.
“I real like it”
Mama Rose alizungumza kingereza chake mchwara huku meno yote thelathini na mbili yakionekana. Safari ya hadi kufika hospitalini ikachukua masaa kadhaa hii ni kutokana na foleni ndefu ya jiji letu hili la Dar es Salaam. Tukafika hospitalini tukiwa na furaha sana, nilijaribu kuendelea kumpumbaza mama Rose ili mradi nimteke akili na kuniamini, ili nikipata nafasi basi niifute video hii ya ngono inayo nihusisha mimi na Zari.
Moja kwa moja tukaeleka katika chumba cha wagonjwa mahututi, mama Rose akaniomba aanze kuingia yeye, kwa maana kama daktari alivyo shauri jana usiku. Mtu wa kwanza ambaye Rose atatakiwa kumuona ni mtu ambaye hajamsababishia matatizo na laiti akiniona mimi basi inaweza kumletea matatizo.
Mama Rose akaka ndani ya chumba hicho kwa dakika kumi na tano kisha akatoka, akanitazama usoni mwa uso ulio poteza furaha kabisa.
“Vipi?”
“Rose muda wote yeye analia, hataki hata kukuona”
“Kwani ulimuambia kwamba nipo hapa nje?”
“Yaa nilimuambia kwamba tumekuja wote, ila amekataa kabisa kuzungumza na wewe. Pia nesi anaye muhudumia ameshauri kwamba usiingie kwa maana hali yake bado haijawa sawa”
Maneno ya mama Rose yakaninyong’onyeza kabisa, kwa maana nafasi hii nilitamani kuitumia sana ili niweze kwenda kumuomba msamaha Rose kwa yale yote yaliyo weza kutokea kwa siku ya jana.
“Erick ninakuomba tuweze kuondoka, kama itawezekana turejee baadae kumuangalia. Labda akili yake inaweza kuwa sawa”
“Sawa mama”
Sikuwa na kipingamizi zaidi ya kukubaliana na kila ambacho mama Rose amekizungumza. Tukaanza kutembea kuelekea nje huku nikiwa na mawazo mengi sana.
“Erck ninakuona kichwa chako hakipo sawa, ninakuomba tutafute sehemu tukapumzike hadi mida ya jioni tutakuja kumuona tena-Rose”
“Sawa mama, ila ningekuomba tupitie bank kwanza kisha ndio tutafute hiyo sehemu ya kumpumzikia”
“Sawa, mpenzi wangu mimi ninakusikiliza wewe tu”
“Ila ninakuomba uzungumza na Rose, ninampenda sana. Nilicho mfanyia hakustahili adhabu hiyo ya maumivu ya moyo”
“Ninalitambua hilo swala, nitazungumza naye. Rose ni mwanangu hawezi kubishana na mimi kwa kile ambacho huwa nina mwambia”
“Sawa mama”
“Samahani jamani”
Sauti ya nesi ikatufanya tusitishe mazungumzo yetu na kumtazama.
“Naamini wewe ndio Erick?”
“Ndio nesi”
“Nifwate”
“Nesi kuna nini?”
“Mama ninakuomba utusubiri, anakuja”
Nikaongozana na nesi huyu anaye tembea kwa haraka sana.
“Nesi tunaelekea wapi?”
“Mgonjwa wako anakuhitaji kukuona”
“Rose amekubali kuniona?”
“Kwani mama yake hakukuambia?”
Sikuhitaji kulijibu swali la nesi huyu kwa maana mama yake alicho kuja kunileza ni kitu cha tofauti sana na kile ambacho nesi huyu anakizungumza.
“Una dakika chache za kuzungumza naye. Unaweza kuingia”
Nesi alizungumza huku akinifungulia mlango wa chumba cha wagonjwa mahututi. Nikaingia ndani ya chumba hichi kilicho tulia. Rose akanitazama, kwa macho yaliyo jaa machozi, taratibu nikatembea huku nikimuangalia Rose usoni mwake.
“Rose”
Niliita kwa sauti ndogo na iliyo jaa unyenyekevu. Rose akanitazmaa huku machozi yakizidi kumwagika usoni mwake, taratibu nikaka pembeni ya kitanda na kumtazama Rose usoni mwake. Taratibu Rose akanyanyua mkono wake wa kushoto, kwa ishara akanionyesha nimvue pete ya uchumba ambavyo nilimvisha miezi michache nyuma. Mwili mzima ukanisisimka na kujikuta machozi yakinilenga lenga. Rose hakuhitaji kuzungumza chochote zaidi ya kunisisitizia kwa ishara kwamba nimvue pete ambayo nimemvisha.
“Rose ninakuomba unisamehe mpenzi wangu”
“Nivue pete yako”
“No siwezi kukuvua mpenzi wangu”
“Mimi sio mpenzi wako na kama unahitaji nife na kinyongo moyoni mwangu basi iache hii pete kidoleni mwangu”
Rose alizungumza kwa kujikaza sana, huku machozi yakiendele kumwagika usoni mwake.
“Rose huwezi kufa mpenzi wangu, ninakuomba unisamehe tafadhali”
“Erick nivue pete yakoooo”
Rose alizungumza kwa sauti ya juu hadi nesi akaingia kwa haraka ndani ya chumba hichi. Mashine ya mapigo ya moyo iliyopo pembeni ikaanza kutoe kilio kilicho nifanya nichanganyikiwe.
“Kaka ninakuomba utoke ndani ya chumba”
“Erick pete yako nitoe”
Rose aliendelea kuzungumza kwa sauti.
“Dada tafahdali ninakuomba usizungumze kitu, tulia. Kaka chukua pete yako na kutoka ndani ya chumba.”
Sikuwa na jinsi zaidi ya kutii amri ya Rose pamoja na nesi huyu kwa maana hali ya Rose imeanza kubadilika. Nikamvua pete Rose na kutoka katika chumba hichi huku machozi yakinimwagika na kushindwa kabisa kuyazuia machoni mwangu. Nikaona manesi wengine wawili wakikimbilia katika chumba ambacho nimetoka, mapigo ya moyo yakapoteza kabisa amani. Nikatamani kuondoka ila miguu ikashindwa kabisa, nikabaki nikiwa nimesimama nje ya mlango wa chmba hichi cha Rose. Haukupita muda kidogo nikamuona daktari aliye muhudumia Rose jana akija kwa kasi, wala hakunisalimia zaidi ya kuingia ndani ya chumba hicho kwa haraka sana.
Mama Rose nikamuona akija kwa kasi kwenye kordo, huku jasho likimwagika sana.
“Erick ni nini kinacho endelea?”
“Maaa……dd…..a mada….kta…..ri wapo humo ndani”
Nilizungumza huku nikipatwa na kigugumizi kikali sana kinacho sababishwa na kulia kwa uchungu sana. Mama Rose machozi naye yakaanza kumwagika usoni mwake.
“Erick mwanagu amefanya nini ohooo Mungu wangu”
Sikuweza kumjibu mama Rose kitu chochote zaidi ya kujikuta nikikaa chini huku huku machozi yakiendelea kunimwagika sana. Hatukuwa na sehemu ya kwenda zaidi ya kusibiria majibu ya madaktari, baada ya nusu saa, nesi akatoka huku akiwa amemwagikwa na jasho.
“Nesi”
Nilizungumza kwa shauku huku nikinyanyuka kwa kasi kutoka chini nilipo kaa.
“Ninawaomba mutulie, hali ya mgonjwa tumejitahidi kadri ya uwezo wetu na………”
Macho yakatutoka mimi na mama Rose na kubaki tukiwa tumemtazama nesi huyu.
“Tumefanikiwa kuyaokoa maisha yake, kwa maana alipata tatizo la mstuko wa moyo ambalo ni hatari sana kwa binadamu na laiti kama tungechelewa kidogo basi maisha yake yangepotea”
“Ohoo asante sana Yesu”
Mama Rose alizungumza huku akitabasamu.
“Kaka tafahali, ninakuomba usiweze kuonana na mgonjwa, kwa maana kwa ajili yako tunaweza kumpoteza yule binti”
“Sawa nesi”
“Kwa sasa mgonjwa amepumzika. Mama unaweza kurudi majira ya saa kuni na moja jioni”
“Sawa nesi”
Nikaondoka hospitalini hapa huku nikiwa nimejawa na furaha upande mmoja ila upande mwengine nimejawa na huzuni kubwa ambayo kusema kweli inaniumiza sana.
“Erick”
“Mmmmm”
“Ninakuomba umpe nafasi Rose ya kupona, tafadhali usionane naye muache atoke hospitali ndio mukutane”
“Sawa mama”
Tukaingia kwenye gari, moja kwa moja tukaelekea kwenye benki ya CRDB, nikatoa kiasi cha laki tano, kisha nikarudi kwenye gari.
“Tuelekee wapi kwa sasa?”
“Ahaa tueleke hoteli yoyote kama huto jail”
“Sawa mama”
Sikutaka kumuambia mama Rose tunaelekea sehemu gani. Moja kwa moja nikaelekea katika hoteli ya Royal Internation iliyopo pembezoni mwa bahari. Nikalipia chumba cha elfu stini na kununua mzinga wa wayne na kuelea nao chumbani kwetu.
“Kama una njaa uagizie chakul”
Nilimuambia mama Rose huku nikikaa kwenye sofa lililopo humu ndani ya hichi chumba.
“Hapana nipo vizuri”
Nikatoa pete ambayo nimemvua Rose kwa mikono yangu mimi mwenyewe. Nikaitazama huku machozi yakinilenga lenga. Mama Rose akabaki akinitazama huku akiwa amekaa kwenye sofa la mbele yangu. Nikafungua mzinga wa wyne na kuanza kuunywa kwa fujo sana hadi mama Rose akanizuia.
“Erick tulia baby, kunywa hivyo unaweza kupaliwa ikawa ni tatizo”
“Niache ninywe bwana, mwanao hanitaki sasa kuna haja gani ya kuniacha nisinywe”
“Hapana Erick, mimi nipo. Ninaweza kukupa chochote ambacho mwangu alikuwa anakupatia, kwani tumetofautiana kitu gani mimi na Rose?”
Mama Rose alizungumza huku akiwa amesimama, akaanza kujigeuza geuza mbele yangu. Kisha akavua gauni lake alilo livaa na kubakiwa na guo ya ndani. Simu yangu ikaita mfukoni mwangu na kuitoa na kukuta ni rafiki yangu mmoja anaiye itwa jumaa, ananipigia.
“Popoo”
“Niambie popo”
“Siku mbili hizi sikuoni, wapi hiyo”
“Ahaa mwana nina majanga, ila nitakucheki badae”
“Ahaa majanga ya nini tena?”
“Nitakucheki mida tutabonga sana”
“Poa mwana”
“Pamoja”
Nikakata simu, nikamtazama mama Rose anaye kwenda bafuni huku akiwa na nguo za ndani, wazo la kumpiga picha za uchi likanijia akili mwangu. Nikaiweka picha ya wyne mezani, nikaingia upande wa kamera kwenye simu yangu kwa haraka sana na kuanza kumpiga picha mama Rose akiwa anaingia bafuni. Na uzuri nikatoa mwanga wa kamera kwa hiyo hata nikimpiga picha hawezi kustuka kabisa. Alipo ingia bafuni nikanyanyuka, kwa haraka nikavua nguo zangu na kubakiwa na boksa, nikaeleka bafuni nikiwa na simu yangu mkononi huku nikiwa nimeweka upande wa video. Nikafungua mlango na kumkuta mama Rose akitoa haja ndogo.
“Jamani baby umenifwata hadi huku”
“Yaa nina hamu na wewe”
Nilizungumza huku simu yangu nikiwa nimeibana vizuri kwenye kiganja cha upande wa kushoto pasipo mama Rose kuiona. Alipo maliza kutoa haja yake ndogo, akanawa vizuri kwenye kitumbua chake, kisha akanisogelea huku akiwa amachuchuma. Akaniporomosha boksa yangu, taratibu akaanza kumshika jogoo wangu na kuanza kumchezea taratibu. Alipo hakikisha amesimama vizuri, akaanza kumlamba pasipo kujua kwamba ninamrekodi kila kitu. Mama Rose akaendelea kunyonya jogoo wangu huku macho akiwa ameyafumba, hapo ndipo nikapata nafasi nzuri ya kuichukua sura yake kwenye video yangu. Nilipo ridhika nikaihifadhi video hii kwenye simu yangu, kisha nikamuomba tueleke chumbani pasipo kugundua kwamba nimemrekodi kila alicho kifanya.
“Mbona unavaa nguo unakwenda wapi?”
Mama Rose aliniuliza kwa mshangao huku akinitazama jinsi ninavyo vaa suruali yangu.
“Ninakwenda kwetu”
“Kufanyaje, wakati mwenzako ndio kwanza nimezidiwa”
“Kuna wahudumu wa kiume wengi sana kwenye hii hoteli unaweza ukawaambia wakaufanya kile unacho hitaji mimi nikufanye”
“Erick umefikia kunidharau hivyo?”
“Wewe ni mtu mzima usiye jielewa hembu tazama mwanao amelala kule nusu kufa, wewe bila haya wala woga unakuja kunipanulia kum** yako huku una akili kweli”
Nilizungumza kwa kujiamini sana kwa maana nimesha tambua kwamba dawa ya moto ni moto.
“Eheehehee Erick hunijuie heeee?”
“Nakujua, una lipi jipya mzee wewe, nimelipia chumba kama unataka unaweza kulala hapa, kama uhitaji unaweza kwenda uswahilini kwako. Kukiwa na haya ya pesa kuhusiana na Rose niambie ila koma kunifwatilia na koma kunitambua kwamba ulisha wahi kutombw** na mwanaume kama mimi”
Maneno yangu dhari yakazidi kumchefua mama Rose, hadi sura yake ikaanza kutawaliwa na mistari mingi usoni mwake. Kwa haraka akachukua simu ya Rose kwenye pochi yake na kuanza kuiminya minya.
“Ngoja nikuchafue nguruwe wewe”
“Ahaa kabla ya wewe kunichafua, huko huko whatsapp subiri nikuonyeshe kitu”
Nikatoa simu yangu mfukoni ambayo nilisha iingiza mfukoni. Nikamtumia mama Rose video niliyo mrekodi pamoja na picha zake zote nilizo mpiga, na zote zinamuonyesha sura yake.
“Wazungu wenyewe wanasema what do you feel? Nahisi hapo umenielewa”
Nikamuona mama mama Rose akiwatumbua macho yake, jasho likaanza kumwagika uso mzima, mwili mzima nikauona ukimtetemeka, nikajikuta nikitabasamu kwa furaha, taratibu nikaachukua chupa yangu ya wyne na kuanza kuelekea mlangoni.
ITAENDELEA