Riwaya: I died to save my President

Duh kigongo kinachofuata bro ukikitupia itapendeza zaidi!!!!

Mambo yamefikia kunako sasa!
 
Taarifa za Irene zitamfanya Frank achanganyikiwe kabisa. Atalazimika kumwambia Elizabeth. Elizabeth atatafuta namna ya kummaliza Frank. Vicky lazima atoke Salama huko matesoni kwa namna gani haijulikani. Pia mawasiliano ya David na Makamu Rais yatanaswa yakuhusu maandamano ya wanasiasa. Mambo yanazidi kunoga. Bila shaka tupo episode za mwisho mwisho.
 
The genius... Umetisha Sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa uliahidi tatu umetuma mbili jamaa asee bado moja fanya mambo kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…