Riwaya: I died to save my President

Riwaya: I died to save my President

I DIED TO SAVE PRESIDANT

Sehemu 59

Graca nini hasa
unakihitaji.Unanihitaji niwe
mpenzi wako au una hamu ya
kufanya mapenzi?
“Vyote.Nina miaka mingi
sijawahi kufanya mapenzi na hapa
nilipo mwili wangu wote unawaka
kwa tamaa na mwanaume pekee
ambaye ninamtaka aniweke
katika mikono yake ni wewe
pekee.Utanisamehe Elvis mimi
ninapopenda huwa ninakuwa
kama kichaa hivyo nakuhitaji sasa
na siku zote” Akasema Graca na
kuanza kukipapasa kifua cha Elvis
“Not so fast Graca.Nenda
kwanza chumbani kwako
nitakupa jibu baadae”
“Nakuhakikishia tena Elvis
kwamba ukinipaninachokihitaji,nitakupeleka
mahala ambako utapata kila
unachokihitaji” akasema Graca na
kumbusu Elvis halafu akatoka mle
chumbani.
“Please help me Lord”
akasema Elvis na kuchukua simu
akampigia Steve
“Steve tayari umefika eneo la
makutano? Umekwisha onana na
Juliana? Akauliza Elvis
“Tayari nimekwisha fika
lakini Juliana bado hajafika
ninaendelea kumsubiri atafika
muda si mrefu”
“Good.Kuna jambo limetokea
hapa na ninahitaji ushauri wako”
“Jambo gani Elvis?
“Ulipoondoka nimezungumza
na Graca na kumuuliza kama kuna jambo lolote analifahamu
linaloweza kutusaida kuufahamu
mtandao wa baba yake akanieleza
kwamba kuna sehemu
anaifahamu ambako tunaweza
kupata tunachokihitaji”
“That’s good.Amefanya vizuri
sana”
“Hata hivyo kuna ugumu
kidogo katika hilo”
“Ugumu gani tena?Ni mahala
pasipoingilika?Yeye atuelekeze
sisi tutakwenda kuingia na
kuchukua tunachokitaka”
“Si hivyo Steve.Graca ametoa
sharti ambalo nikilitimiza basi
atanipeleka huko mahala”
“Sharti gani ametoa?
“Anataka niwe mpenzi wake”
“Eti nini?Anataka niwe mpenzi wake”
“Hapana anatania huyo”
“Si utani Elvis.Anamaanisha
anachokisema.Anataka niwe
mpenzi wake ili anipeleke hiyo
sehemu ambako anadai tunaweza
kupata kila tunachokihitaji”
“Shetani gani kamuingia huyu
mtoto?
“Steve nimekupigia unipe
ushauri wako kwani nimeshindwa
kufanya maamuzi.Tunahitaji
kupata taarifa lakini siwezi
kufanya au kuwa na mahusiano
na mtu ambaye ninamuona kama
mdogo wangu” akasema
Elvis.Ukimya mfupi ukapita Steve
akasema
“Hata mimi umeniweka
katika wakati mgumu lakini hivi ndivyo ningefanya kama
ningekuwa mahala pako”
“Nakusikiliza” akasema Elvis
“Tunahitaji sana taarifa na
mara zote tunapokuwa katika
kutafuta taarifa muhimu za
kutusaidia katika operesheni zetu
mbalimbali huwa tunafumba
macho na kufanya lolote lile
ambalo litawezekana ili
kuzipata.Wakati mwingine
tunalazimika hata kutoa uhai wa
watu ili kupata taarifa.Kwa kuwa
Graca ametaka mwenyewe iwe
hivyo mkubalie.Mpe anachokitaka
ili naye atupe anachokitaka.Najua
kwako itakuwa vigumu lakini
hatuna namna Elvis.Taarifa
aliyonayo Graca inaweza kuwa na
msaada mkubwa kwetu.Operesheni hii ni ya muda
mfupi na unaweza kukubali kuwa
naye na kumpatia anachokitaka na
pale tutakapomaliza operesheni
yetu basi kila mmoja ataendelea
na maisha yake”
“Steve....”
“Elvis tayari nafahamu
unachotaka kukisema lakini
naomba uusikilize ushauri
wangu.Mpe anachokitaka na yeye
atupe taarifa.Isitoshe kale kabinti
kazuri sana hakana tatizo lolote
na hata yeye ana hisia kama
wengine.Laiti angeniambia mimi
hivyo nisingejiuliza mara mbili
muda huo huo ningemtembezea
mjeledi.Elvis naona Juliana
anapiga simu nadhani amekwisha
fika.Zingatia ushauri huo” “Sawa Steve.Ahsante kwa
ushauri” akasema Elvis na kukata
simu
“Steve anachukulia jambo hili
kirahisi sana.Laiti angekuwepo
mahala pangu angeweza kuuona
ugumu ninaoupata.Hata hivyo
hatuna namna zaidi ya kumtimizia
anachokitaka.Ouh gosh ! kama
nikifanya hivi itakuwa ni mara ya
pili ninamsaliti Patricia.Mara ya
kwanza nilifanya na Doreen na
sasa atakuwa ni Graca.Sikuwahi
kuhisi kama siku moja nitamsaliti
mke wangu lakini operesheni hii
imenifanya nisaliti kiapo
changu.Siku nikimuweka
mikononi Frank atajuta kuzaliwa
kwani yeye na wenzake ndiyo
chanzo cha haya yote yanayonitokea”akawaza Elvis na
kukumbuka kitu
“Patricia naye aliwahi
kunisaliti na mwanaume fulani na
niliwashuhudia kwa macho yangu
wakitoka hotelini na baadae
akakiri kwa Doreen kuwa alilala
na yule mwanaume.Yeye ndiye
aliyeanza kusaliti kiapo chetu cha
ndoa.Ni vipi kama ataendeleza
mahusiano na yule jamaa akiamini
mimi tayari nimekufa?Aaaghhh!!
Elvis akajikuta amepandwa na
hasira za ghafla.
“Sitakiwi kabisa kuyapa
nafasi mawazo kama haya.Ngoja
nijielekeze zaidi katika operesheni
yangu” akawaza na kutoka
akaenda chumbani kwa Graca
akagonga mlango na kumuita Graca.Mara tu walipofika
chumbani Elvis akamuinua na
kumuweka mikononi.Graca
alikuwa mwepesi sana
“Nitakutimizia kile ambacho
unakitaka ili uweze kunipa na
mimi kile ninachokihitaji”
“Real? You are my boyfriend
now?akauliza Graca
“Ndiyo nimekubali ila
kutakuwa na masharti”
“I don’t care” akasema Graca
na kumkumbatia Elvis kwa nguvu
na kuanza kumporomoshea
mabusu.Taratibu Elvis akajikuta
ikulu kunaanza kufukuta
akamuweka Graca kitandani na
kuvua nguo kisha mtanange
ukaanza. Kilikuwa ni kipute cha saa
moja na nusu.Licha ya umri wao
kuwa tofauti lakini Graca
alionekana kuwa fundi zaidi lakini
Elvis naye alionyesha umahiri
kwani alimpeleka mizunguko
miwili bila kupumzika na hadi
mzunguko wa pili unamalizika
Graca alikuwa hoi akajitupa
pembeni
“Tuendelee? Elvis
akauliza.Huku akihema kwa kasi
Graca akasema
“Hapana imetosha.Nilikuwa
na hamu sana lakini
nimetosheka.Ile kiu yangu yote ya
miaka kadhaa bila kukutana na
mwanaume imekatwa.Sikufanya
makosa kukupenda Elvis kwani
wewe ni wa kipekee sana.Una pumzi kama Duma” akasema
Graca
“Graca jambo hili ni la siri
yetu na hatakiwi mtu mwingine
yeyote humu ndani
kufahamu.Hivyo inuka uende
chumbani kwako kabla Vicky na
Steve hawajarudi.Kabla
hujaondoka tayari nimekutimizia
ulichokuwa unakitaka na sasa ni
wakati wako kunipa na mimi kile
ninachokihitaji” akasema Elvis
“Ahsante Elvis.Sikutegemea
kabisa kukupata ila nakuomba
samahani kwa kutumia njia hii
kukulazimisha jambo hili lakini
sikuwa na namna nyingine ya
kufanya.Kuhusu ile ahadi yangu
usijali nitakupeleka sehemu
ambako utapata kile unachokihitaji.Usiku wa leo
nitakupeleka huko”
“Ni wapi huko?
“Usihofu Elvis,naomba
uniamini” akasema Graca na
kumbusu Elvis akatoka mle
chumbani
“Wanasema usidharau udogo
wa reli kwani inabeba kitu
kikubwa kama treni.Usemi huu
nimeuthibitisha kwa Graca licha
ya umbo lake lakini mambo yake
ni mazito.Amenionyesha mambo
ambayo sikuwa nimeyategemea
kabisa kuwa anaweza
kuyafanya.Hata mimi
nimemkimbiza mchaka mchaka
hadi akaomba kupumzika.Sijisifu
kwa hiki nilichokifanya kwani ni
kosa lakini ni katika kutafuta taarifa muhimu.Ninachoogopa
nimemuonjesha asali na atataka
kuchonga mzinga.Baada ya kupata
taarifa ile ninayohitaji nitaanza
kumuweka mbali ili kuzuia jambo
hili lisiendelee zaidi” akawaza
Elvis

***************

Juliana aliwasili mahala
alipomuelekeza Steve
wakutane.Alikuwa ameongozana
na Patricia.
“Karibuni sana” akasema
Steve akiwakaribisha Juliana na
Patricia
“Ahsante sana.Samahani kwa
kuchelewaBila samahani.Wasema ni
afadhali kuchelewa kuliko kukosa
kabisa kufika” akasema
Steve.Muhudumu akafika
wakaagiza vinywaji na maongezi
yakaanza
“Nadhani ni mara yetu ya
kwanza kuonana.Mimi naitwa
Steve Kinke.Nimetumwa na
mkurugenzi Meshack Jumbo
kufuatia mazungumzo yenu
asubuhi ya leo” akasema Steve
“Tunafurahi kukutana nawe
Steve.Mimi naitwa Juliana na huyu
mwenzangu anaitwa Patricia
ambaye mum……”
“Ninamfahamu Patricia.Pole
sana kwa matatizo
yaliyokupata.Elvis ni rafiki yangu
mkubwa na mimi ndiye niliyekuwa naye wakati
shambulio lile linatokea na
nikafanikiwa kuwamaliza wale
jamaa wote lakini mwenzangu
akapoteza maisha.Ninachoweza
kukuhakikishia ni kwamba mimi
na wenzangu tutafanya kila
linalowezekana hadi tuhakikishe
tunawapata wale wote
waliosababisha kifo cha
Elvis.Msiba huu ni wetu sote na
sote tumeumizwa sana.Elvis was
like a brother to me” akasema
Steve na kwa mbali macho ya
Patricia yakaonekana na machozi.
“Nimekuja kuonana nawe
Juliana kufuatia mazungumzo
yako na mkurugenzi asubuhi ya
leo” akasema Steve Ndiyo tumekutana na
Meshack Jumbo asubuhi ya leo na
kuna masuala tumeyazungumza”
“Mimi ndiye aliyenikabidhi
suala hilo nilishughulikie hivyo
nataka unieleze kwa kina kuhusu
yale yote uliyomueleza ili nione
wapi pa kuanzia.Usiogope nieleze
kila kitu hata kile ambacho
hujawahi kumueleza mtu yeyote
nieleze mimi na kinaweza
kunisaidia katika uchunguzi
wangu” akasema
“Steve nakushukuru sana kwa
kuja na kuubeba mzigo huu
nilioubeba kwa miaka
mingi.Ninauita ni mzigo kwa kuwa
nimeubeba kwa miaka kadhaa
moyoni mwangu bila kuona sehemu ya kuutua” Akanyamaza
kidogo na kuendelea
“Tumezaliwa watoto watatu
katika familia yetu.Mimi nikiwa
mtoto wa kwanza halafu akafuata
mwingine anaitwa Godson na
yupo mwingine wa
mwisho.Wazazi wetu ni wafanya
biashara.Awali baba alikuwa
akifaya kazi katika shirika moja la
kimataifa lakini baadae akaacha
kazi na kuendelea na
biashara.Kwa muda mrefu wazazi
wetu hawakuwa wakiishi hapa
Tanzania bali walikuwa Afrika
kusini na hapa Tanzania
nilikuwepo mimi na mdogo wangu
Godson.Kazi yangu mimi ni
mitindo.Nilikuwa na kampuni
yangu ya mitindo lakini baada ya kuondoka nchini imekufa”
Akanyamaza akameza mate na
kuendelea
“Nilikuwa na mpenzi wangu
anaitwa Joseph mtoto wa mfanya
biashara mmoja mkubwa hapa
nchini.Tulipendana sana na
tulikuwa na mipango mingi ya
maisha lakini siku moja nilipigiwa
simu na na mdogo wake Jose
akanijulisha kuwa mpenzi wangu
ameuawa kinyama kwa
kuchinjwa.Kichwa
kilitenganishiwa na kiwiliwili na
kisha mwili wake ukaenda
kutupwa katika geti la nyumba
yao.Pembeni ya mwili huo
kuliokotwa kijikaratasi kikieleza
kuwa bado mimi wakimaanisha
kwamba mimi ndiye nitakayefuatakuuawa baada ya mpenzi
wangu.Wazazi wangu walichukua
hatua za haraka sana kuniondoa
hapa nchini na kunipeleka nje ya
nchi ambako nimeishi hadi sasa
niliporudi nyumbani kumzika
baba”
“Pole sana.Baba yako naye
amefariki!
“Ndiyo amefariki na sasa
taratibu zinafanywa ili wiki ijayo
tumpumzishe”
“Endelea” akasema Steve
akimsikiliza Juliana kwa makini
sana
“Vifo viliendelea kuiandama
familia yetu.Miaka michache
baadae mdogo wangu Godson
naye aliuawa kinyama
sana.Wakati huo alikuwa akisimamia miradi ya familia na
aliuawa kwa kuigwa risasi zaidi ya
hamsini mwilini mwake.Yalikuwa
ni mauaji ya kikatili sana.Mdogo
wangu wa mwisho naye aliwahi
kupigwa risasi lakini kwa bahati
nzuri akapona na kwa sasa
anatembea na walinzi kila
aendako.Mambo haya
yameniumiza mno kwa miaka
mingi na linaloniumiza zaidi ni
kwamba hadi leo hii hakuna
aliyewahi kupatikana kuhusika na
mauaji hayo.Nimerudi nyumbani
lakini sina amani nikihofu labda
wale wauaji wataendelea
kunifuata na kuniua kama
walivyoahidi wakati ule
walipomuua Joseph na ndiyo
maana nikaonana na mzee Meshack nikamuomba anisadie
kuchunguza na kuwabaini watu
waliofanya mauaji haya kwa
familia yangu.Ninakuomba Steve
mfanye kila muwezalo ili niweze
kuwafahamu watu hawa na kwa
nini wameiandama familia yangu
namna hii? Akasema Juliana
"Pole sana Juliana kwanza
kwa kuondokewa na baba yako na
pili kwa masahibu yaliyokupata ya
kufiwa na mpenzi wako vile vile
kaka yako.Napenda kukuahidi
kwamba mimi na wenzangu
tutafanya kila tuwezalo
kuhakikisha kwamba watu
waliofanya mauaji haya
wanapatikana na kufikishwa
mbele ya sheria.Huu ni unyama
uliopitiliza na sisi maisha yetu tumeyatoa kwa ajili ya
kupambana na watu kama
hawa.Narudia tena kukuahidi
kwamba kwa namna yoyote ile
lazima tuwajue watu hawa na
tufahamu lengo la kufanya mauaji
haya"akasema Steve
"Ahsante sana
Steve.Nitashukuru mno kwani
jambo hili limenitesa kwa miaka
mingi.Sielewi ni kwa nini watu
hawa walinijumuisha na mimi
katika orodha ya watu wanaotaka
kuwaua kwa sababu kwanza
siwajui na vile vile sijawahi kuwa
na ugomvi na mtu yeyote"
"Usijali Juliana kila kitu
kitajulikana.Nataka kufahamu je
yalipotokea mauaji ya mpenzi
wako Joseph suala hili lilifikishwa katika vyombo vya
uchunguzi?Kuna ripoti yoyote
wamewahi kuwapa kuhusiana na
uchunguzi wa vifo hivi?akauliza
Steve
"Kuhusu uchunguzi sifahamu
chochote kwani baada tu ya
mazishi nikaondolewa hapa nchini
na kupelekwa nje ya nchi"
"Hukuwahi kuwauliza wazazi
wako kuhusiana na uchunguzi wa
suala lile na kama wauaji
wamepatikana?
"Nimewauliza lakini jibu lao
siku zote ni kuwa nisijali suala
linashughulikiwa.Hata yalipotokea
mauaji ya Godson hakukuwa na
uchunguzi wowote uliofanyika na
mpaka leo hii hakuna mtu yeyote
aliyewahi kukamatwa kuhusiana na mauaji haya"akasema
Juliana.Steve akamtazama kwa
makini machoni halafu akasema
"Nitahitaji kuonana na mama
yako nimuulize maswali kadhaa
kuhusiana na matukio haya
mawili"
"Hapana Steve usithubutu
kufanya hivyo.Sitaki kabisa mama
afahamu kuwa ninachunguza
kuhusu mauaji ya Godson na
Joseph.Ninafanya jambo hili kwa
siri bila yeye kufahamu chochote"
"Juliana nadhani kuna kitu
hakijakaa sawa hapa.Kwa nni
unafanya jambo hili kwa kificho
bila wazazi wako kufahamu?Kuna
sababu yoyote inayokupelekea
ukafanya hivi?akauliza Steve Swali lile likambabaisha
kidogo Juliana akageuka na
kumtazama Patricia.
"Tell him everything"
akasema Patricia
"Juliana kama nilivyokueleza
toka awali kwamba nieleze kila
kitu hata kama ni kidogo sana
kinaweza kunisadia katika
kufahamu chanzo cha mauji na
baadae kuwabaini
wauaji.Usiogope tafadhali nieleze
kila unachoona kinaweza kuwa na
msaada katika uchunguzi wa
jambo hili" akasema Steve na
Patricia akainamisha kichwa
akafikiri kwa muda halafu
akasema
"Kuna suala ambalo linaihusu
sana familia yangu.Kama nilivyokueleza kuwa wazazi
wangu ni wafanya biashara
wakubwa,wanamiliki biashara
kadhaa kubwa kubwa ambazo
nyingine ninazifahamu na
nyingine sizifahamu.Ninahisi kuna
biashara ambazo si nzuri
wanazifanya ambazo haziko
wazi.Sina uhakika sana wa hilo
lakini ninaamini kuna biashara
ambazo si halali wanazifanya"
"Kitu gani kimekufanya uhisi
kuna biashara ambazo si za
kawaida zinafanywa na wazazi
wako? Steve akauliza
"Mdogo wangu Godson
aliachishwa kazi na kutakiwa awe
msimamizi mkuu wa biashara
zote za familia.Nakumbuka
aliwahi kunieleza kuwa nisijihusishe kabisa na biashara za
familia.Hili lilikuwa ni angalizo
kwangu na nilipomtaka
anifafanulie akasema atanieleza
kila kitu akipata nafasi na wiki
mbili baadae akauawa kinyama
alipigwa risasi zaidi ya hamsini
mwilini mwake.Sina ushahidi wa
moja kwa moja lakini nina imani
kabisa kuwa my parents are
involved in dirty business.Hii ni
sababu mimi na ndugu zangu
tunaishi kwa mashaka na wasi
wasi mkubwa.Tumekosa amani
kabisa" akasema Juliana
"Ahsante sana Juliana kwa
taarifa hizi ambazo ni muhimu
sana kwetu.Tutazifanyia kazi na
kupata majibu.Maelezo hayo
yamenipa mwangaza kuwa yawezekana kuna watu ambao
wanahasimiana na wazazi wako
katika biashara na ndiyo maana
ninyi mmekuwa walengwa.Mama
yako anaitwa nani?
"Mama anaitwa Elizabeth
Mlabwa Mwakyusa"
"Kuna biashara yoyote
ambayo amewahi kuisajili hapa
Tanzania?
"Hapana hajawahi kufungua
biashara yoyote hapa
Tanzania.Biashara zake zote ziko
Afrika kusini ,Uingereza,talia
,India,marekani na hata Urusi"
"Ouh kumbe amewekeza
sana"
"Ndiyo amewekeza sana
sehemu mbali mbali lakini makazi
yake ni nchini Uingereza"akajibuJuliana na Steve akaendela
kumuuliza maswali mengine ili
kulifahamu kwa kina zaidi tatizo
lile la Juliana.Aliporidhika
wakaagana na kuondoka
"Namuonea huruma sana
Patricia kwa mateso ya moyo
aliyonayo lakini Elvis hakuwa na
namna nyingine ya kufanya zaidi
ya kutumia njia hii.Kuhusu Juliana
kweli ana tatizo kubwa.Kwa
mtazamo wangu wa haraka
haraka mauaji haya ni ya kulipiza
kisasi.Kama alivyosema
mwenyewe kuwa wazazi wake
wanajihusisha na biashara
haramu inawezekana kabisa kuwa
wauaji walifanya vile ili kulipa
kisasi.Ninashawishika kuamini
kuwa ni mauaji ya kulipiza kisasi.Tutaanza kwanza kwa
kuchunguza biashara za wazazi
wake na halafu tutachunguza pia
watu anaoshirikiana nao lengo ni
kufahamu ni biashara gani
haramu wanazozifanya.Kwa sasa
ngoja niende kwa Samira.Nahitaji
sana kuiona sura ya kimwana
yule" akawaza Steve

******************

Brigedia Frank akiwa katika
benki ya Arab Commericial bank
akishughulikia fedha kwa ajili ya
akina Dr Makwa akapigiwa simu
na Obi mtu aliyemtuma kwenda
kumteka Vicky.Hakuweza
kuipokea simu akiwa mle benki na alipomaliza shughuli zake akatoka
na kumpigia
"Obi nipe habari.Kazi
imekamilika? akauliza Frank
"Mkuu kazi haikwenda vizuri"
"Kwa nini Obi?akauliza Frank
akianza kupandwa na hasira
"Mkuu nilivamiwa na mtu
mmoja hatari sana na anaonekna
ana mafunzo ya hali ya juu
mno.Tumepambana ila
nilifanikiwa kumjeruhi kidogo
kwa risasi na nilipopata upenyo
ikanilazimu kukimbia. "
"Unasemaje Obi?Umesindwa
kumteka yule mwanamke?
"Mkuu nilifanikiwa kumpata
yule mwanamke na watu wote
waliomo ndani mwake akiwamo
mlinzi wa getini lakini ghafla akatokea mtu mmoja akiwa na
bastora na ambaye anaonekana
kuwa na utaalamu mkubwa sana
wa kupigana na tukaanza
kupambana.Kama nisingetoroka
baada ya kupata ule mwanya
ninaamini wangeweza kunidhibiti
na kunitesa sana.Hata Vicky
anaonekana kuwa na mafunzo
mazuri sana ya kujihami kwani
pamoja na kumfunga mikono kwa
nyuma lakini aliweza kuungana na
yule jamaa kupambana
nami.Sikutegemea kama
mwanamke yule angeweza kuwa
na uwezo mkubwa kiasi kile"
akasema Obi
"Obi yuo failed me!! Yule
mwanamke alikuwa muhimu sana kwangu.!! akasema Frank kwa
ukali
"Kwa hiyo tufanye nini mzee?
"Umenirudisha nyuma sana
Obi.Ngoja nifikiri namna ya
kufanya halafu
nitakujulisha"akasema Frank na
kukata simu kwa hasira
"Huyu mwanamke ana
maisha marefu kama paka.Hata
hivyo asidhani kuwa ameshinda
nitamsaka kila kona hadi
nihakikishe nimempata.Lazima
aeleze nani alimtuma amuue
Pascal? akawaza Frank

***************

Saa tisa za alasiri Vicky
akarejea katika makazi ya ElvisMambo yamekwendaje huko
ulikoenda? Akauliza Elvis
“Mambo yamekwenda vyema
kabisa.Nimekutana na rais
nimemuelezea kwa kina mpango
wangu wa kutaka kumchunguza
makamu wa rais.Alistuka sana na
kuniuliza mara mbili mbili kama
nina uhakika na kile ninachotaka
kukifanya nikamueleza kwamba
sina ushahidi bado wa moja kwa
moja ila nina wasi wasi makamu
wa rais anahusiana na watu
wanaofanya biashara haramu ya
silaha.Rais akanielewa na
kuniuliza namna ambavyo
ninataka kufanya uchunguzi
wangu nikamueleza kwamba kuna
mtu ninataka kumpandikiza kama
mwandishi wa habari wa kimataifa wa mazingira na yeye
rais ndiye anayetakiwa
kuhakikisha mwandishi huyo
anakuwa karibu na makamu wa
rais.Amekubali kufanya hivyo na
kesho asubuhi Omola atakwenda
kuonana na rais na ataanza kazi
mara moja” akasema Vicky
“ Good.Tayari umekwisha
fanya maandalizi ya mahala
atakapofikia Omola?
“Tayari nimekwisha andaa
chumba Maasai 5 star
hotel.Nadhani unaifahamu hii ni
moja ya hoteli kubwa hapa nchini”
“Good.Anapaswa vile vile awe
na gari zuri na dereva wa
kumpeleka kila sehemu anakotaka
kwenda.Tutazungumza na Steve
ataliweka hilo sawa.Steve mtoto wa mjini hashindwi na kitu
chochote” akasema Elvis
“Yah.Nini kinaendelea hivi
sasa wakati tunamsubiri Omola
awasili jioni ya leo?akauliza Vicky
“Kwa sasa endelea
kupumzika hadi hiyo jioni ila kuna
kitu nataka kukuomba.Kaa na
mdogo wako na umueleweshe
kwamba hapa mko sehemu
salama na asihofu.Sisi siyo watu
wabaya na tutafanya kila tuwezalo
kuhakikisha kwamba mnakuwa
salama na wael wote wenye
kuwafanya muishi kwa wasiwasi
tutahakikisha tunawabaini na
kuwafagia.Mwambie awe huru na
ajisikie nyumbani na endapo
akihitaji kitu chochote asisite
kunieleza ila muonye kwamba hatakiwi kutumia simu yake au
hata kumuelekeza mtu yeyote
mahala mlipo.Hawa watu
hawataacha kuwatafuta hadi
wahakikishe wamewapata.”
“Sawa Elvis ngoja nikaonane
naye nimuelweshe japo tayari
nimekwisha muelewesha lakini
anaonekana ni mgumu kuelewa”
akasema Vicky na kuinuka
akaanza kupiga hatua akasimama
na kugeuka akamtazama Elvis
“Elvis nakosa neno zuri la
kukushukuru kwa msaada
mkubwa uliotusaidia leo hii.Kama
usingemtuma Steve aje haraka
kuokoa maisha yetu sijui nini
kingetokea.Ahsante sana”
akasema Vicky huku akitabasamu Usijali Vicky,tutafanya kila
kitu kuhakikisha mnakuwa
salama” akasema Elvis na Vicky
akaondoka kuelekea chumbani
kwa Graca aliko mdogo wake
Winnie akamchukua na kwenda
naye chumbani kwake
“Umeshindaje Winnie.Kila
kitu kimekwenda vizuri? Umekula
?
“Dada tafadhali naomba
uniondoe katika gereza hili.I’m
not happy here,I’m not
free.Nimeshindwa hata kula
leo.Nakuomba dada nipeleke
sehemu yoyote nikajifiche lakini si
hapa”akasema Winnie
“Winnie sikiliza mdogo
wangu,kama nilivyokueleza kuwa
dada yako ninafanya kazi ya upelelezi na kwa sasa kuna suala
la muhimu sana ambalo mimi na
hawa akina Elvis tunashirikiana
kulichunguza.Yule jamaa
aliyetuvamia pale nyumbani
asubuhi ametumwa na watu
ambao tunawachunguza na kama
asingetokea Steve kuja kutuokoa
sijui hivi sasa tungekuwa
wapi.Hapa ni sehemu salama
Winnie nakuomba vumilia kwa
muda mfupi na kazi yetu
ikikamilika basi tutaondoka hapa
na kurejea nyumbani kwatu ila
kwa sasa tutaendelea kukaa hapa
mahala ambako hawa jamaa
wanaonitafuta
hawapafahamu”akasema Vicky
“Dada kwa nini ukaamua
kushirikiana na hawa jamaa? They’re monsters.Si watu wazuri
hata kidogo.Kumbuka
walikuumiza mkono na
wakakufunga kwa pingu miguu na
mikono kama mhalifu na walivyo
wanyama wakakuacha ushuhudie
namna wanavyonichoma kwa
umeme.Siwezi kusahau kitu kile
hata kidogo.Mambo kama yale
nimekuwa nayaona katika filamu
na sikutegemea kama siku moja
na mimi nitachomwa na
umeme.Dada siwezi kukubali
kukaa hapa”akasema Winnie
“Winnie narudia tena
kukuomba kwamba vumilia kwa
muda mfupi tumalize operesheni
yetu na kisha tutarejea nyumbani
kwetu.Siwezi kukutoa hapa kwani
nitahatarisha maisha yako.Watu wanaonitafuta wakikupata
watakutumia kuhakikisha
kwamba wananipata na huo
utakuwa ni mwisho wangu”
“Ni akina nani hao
wanaokutafuta? Umewafanya
nini?Akauliza Winnie
“Ni hadithi ndefu Winnie na
mambo haya ya kiusalama huwezi
kuyaelewa”
“Nitaelewa dada nieleze
tafadhali na mimi nifahamu ni
akina nani hao wanaokutafuta na
kwa nini? Akauliza Winnie
“Kuna watu ambao
wanafanya biashara ya
silaha.Wana wauzia silaha waasi
wanaopigana na serikali ya Congo
na kusababisha mauaji ya raia
wasio na hatia.Mtandao huu ni mkubwa na unahusisha watu
wazito na hata viongozi wa
serikali lakini kinara ni mtu
mmoja anaitwa Frank Kwaju huyu
ni mwanajeshi ana cheo cha
brigedia”
“Umesema Frank Kwaju?
Baba yake Graca? Akauliza Winnie
“Unamfahamu?
“Graca amenieleza historia
yake na akanitajia baba yake
anaitwa brigedia Frank kwaju”
“Ndiye huyo.Frank anaye
rafiki yake ambaye
wanashirikiana katika biashara hii
anaitwa Pascal ambaye ndiye
niliyemuua jana na akina Frank
wanafahamu kuwa nimehusika
katika kifo cha Pascal na ndiyo
maana wananisaka.Kwa bahati nzuri nimekutana na hawa akina
Elvis nao wanachunguza suala
hilo hilo hivyo tumeuganisha
nguvu ili tuweze kuusaka
mtandao huu na kuikomesha
biashara haramu ya silaha.Hiyo
ndiyo hali halisi ilivyo”
“Huyo Frank unafahamiana
naye?
“Ndiyo.Ili kumchunguza
nililazimika kujiweka karibu nao
na tukawa marafiki lakini mpaka
sasa hawafahamu kama mimi ni
mpelelezi”akasema
“Sawa dada
nimekuelewa.kama unawaamini
hawa jamaa basi hakuna tatizo
mimi nitavumilia hadi hapo
utakapokuwa umemaliza kazi
yako” Ahsante.Jambo lingine
utalazimika kuzima simu
yako.Watu hawa wanaweza
wakafahamu mahala ulipo kwa
kufuatilia simu yako”
“Dada maisha yangu
yatakuaje bila kutumia simu?
“Ni kwa muda tu Winnie na
halafu maisha yetu yatarejea
kama kawaida.Nitakutafutia laini
nyingine ya simu ambayo
utakuwa ukiitumia kwa muda”
akasema Vicky
“Hakuna tatizo
dada.Umechoka sana nenda kaoge
upumzike.You need anything?
Whysky? Akauliza Winnie na
Vicky akatabasamu
‘Thank you so much
Winnie.Nitahitaji mvinyo ili nipumzishe kichwa kwa muda
kwani jioni kuna mahali
tunakwenda”
“Mtatoka jioni?
“Ndiyo tutatoka kidogo,kuna
sehemu muhimu
tunakwenda”akasema Vicky na
Winnie akatoka kwenda kuchukua
mvinyo.Aliporejea akakuta dada
yake yuko bafuni anaoga haraka
haraka akafungua mkoba wa
Vicky akatoa simu na kutoka nayo
akaiwasha na kutafuta namba ya
Frank.Kulikuwa na namba nne
zimeandikwa Frank akachagua
namba moja imeandikwa
Br.Frank.Haraka haraka
akaiandika katika kiganja cha
mkono kisha akaizima simu ya
dada yake na kuirudisha mkobani halafu akaondoka akarejea
chumbani kwa Graca ambaye kwa
sasa alikuwa amelala fofofo.

***************

Saa kumi na moja za jioni
Steve akarejea katika makazi
yao.Mathew ndiye aliyemfungulia
geti kwani Graca alikuwa bado
amelala kufuatia gwaride
alilochezeshwa na Elvis
“Graca yuko wapi? Akauliza
Steve mara tu baada ya kushuka
garini
“Graca yuko chumbani
amelala”
“Kabla ya yote niambie je
uliamua nini kuhusiana na lile
suala ulilonieleza?Steve akauliza Nilifuata ushauri
wako.Nilimpa alichokuwa
anakihitaji.Nimefanya hivyo kwa
ajili ya kupata taarifa za muhimu
but in record I don’t like it”
akasema Elvis wakielekea katika
viti vya kupumzika katika bwawa
la kuogelea
“You did great Elvis.Hupaswi
kumlaumu Graca kwani ni
binadamu mwenye hisia kama
wengine na usisahau ameishi kwa
muda mrefu hospitali na kwa
muda huo wote hajakutana na
mwanaume.Kwa sasa ana amani
na anahitaji mtu wa kumkuna na
akaona aitumie nafasi hii kutimiza
haja zake.Amekueleza nini baada
ya kumpa alichokuwa anakitaka?
Akauliza SteveHajanieleza chochote
bado,ila amesema baadae kuna
mahala atanipeleka ambako
tutapata majibu ya maswali yetu”
akasema Elvis
“Do you trust her?
“Yes I do.Yeye ndiye
anayemfahamu vyema baba yake
kuliko sisi hivyo lazima
tumuamini.Si muda mrefu kutoka
sasa Omola atakuja,tutakwenda
kumpokea na kisha tutampeleka
moja kwa moja katika hoteli
ambayo Vicky ameiandaa
,tutakuwa na mazungumzo naye
kuhusiana na kazi tunayotaka
aifanye halafu tutamuacha
apumzike na sisi tutaenda
kumchukua Graca atatupeleka
huko mahala alikoahidi.Vipi huko ulikokwenda?Umefanikiwa
kuonana na Juliana?akauliza Elvis
“Ndiyo nimeonana na
Juliana.Hakuwa peke yake bali na
Patricia”
“How’s my wife? Akauliza
Elvis
"I can say she’s fine but down
dep she's deeply hurt.Ameumizwa
mno na kifo chako Elvis.Anyway
tuyaache hay she'll be fine"
akasema Steve
" I hope so.Juliana
amekueleza tatizo lake kwa
undani?akauliza Elvis
"Tumezungumza kwa kirefu
kuhusiana na tatizo lake na
amefunguka mambo mengi
kuhusu vifo vya mdogo wake na
mpenzi wake.Kikubwa nilichokipata katika maelezo yake
ni kwamba mauaji haya
yanaonekana kuwa ni mauaji
yanayoilenga familia
yao.Linaonekana ni jambo la
kulipiza kisasi"akasema Steve
"Hata mimi nilipoelezwa
suala hili na mkurugenzi mara
moja nilijua haya ni mauaji ya
kisasi.Swali la kujiuliza je ni akina
nani hao ambao wanalipiza kisasi
kwa familia yao na kwa
nini?akauliza Elvis
"Kuna jambo ambalo Juliana
ameniambia hata mimi likanipa
mwanga mkubwa.Hakuwa akitaka
kulisema lakini baada ya kumbana
akajikuta hana namna ya kufanya
zaidi ya kunieleza japo hana
uhakika bado lakini anahisi kuwa wazazi wake wanajihusisha na
biashara haramu.Anadai kwamba
wazazi wake wanamiliki biashara
katika nchi mbalimbali lakini
anachoamini kuna jambo
limejificha nyuma ya biashara
hizo.Alikwenda mbali zaidi na
kusema kuwa mdogo wake kabla
ya kuuawa alikuwa akisimamia
miradi ya familia yao na kuna siku
aliwahi kumueleza kwamba
asithubutu kujiingiza katika
miradi ya familia.Hakupata nafasi
ya kumfafanulia kwa kina kwa
nini alimwambia vile akapigwa
risasi na kufa.Hii inanipa picha
kwamba kweli mauaji haya ni ya
kulipiza kisasi na inawezekana
waliofanya mauaji haya ni
washirika wao wa kibiashara.Kinachonipa uhakika
mkubwa kwamba mauaji haya ni
ya kisasi inaonekana kila
yanapotokea hakuna uchunguzi
wowote unaofanyika kubaini
wauaji.Nilitaka kufahamu kutoka
wa Juliana kama kuna uchunguzi
wowote ulifanyika alipouawa
mpenzi wake Joseph lakini
akasema kwamba hana uhakika
kwani baada tu ya mazishi yeye
akaondolewa na kupelekwa
mafichoni nje ya nchi.Hata
alipouawa mdogo wake Godson
bado hakukuwa na uchunguzi
wowote uliofanyika hivyo kutoa
taswira kwamba kuna jambo
linafichwa lisijulikane.Mambo
kama haya hufanywa na magenge
ya watu hatari kama vile wauza dawa za kulevya
n.k.Ninashawishika kuamini
kwamba yawezekana wazazi wa
Juliana wanajihusisha na biashara
hii ya dawa za kulevya au katika
magenge makubwa yanayofanya
biashara mbalimbali
haramu"akasema Steve
"Inabidi tumfanyie mahojiano
mama yake,itatusaidia kuweza
kupata jambo la kutusaidia katika
uchunguzi"
"Juliana amekataa kabisa
tusifanye hivyo kwani anafanya
uchunguzi huu bila ya mama yake
kufahamu” akasema Steve
"Inaonekana Juliana
hamuamini kabisa mama yake na
hadi ameamua kufanya jambo hili
kimya kimya.Tutamsaidia kuwabaini waliofanya mauaji ya
mpenzi na mdogo wake na kama
wazazi wake watakuwa
wanahusika kwa namna yoyote
nao pia watafikishwa mbele ya
sheria.Kitu cha kwanza ambacho
tunapaswa kukifahamu ni je
mauaji yale yalipotokea
yaliripotiwa polisi na kufunguliwa
jalada la uchunguzi?Kama jalada
lilifunguliwa uchunguzi
ulifanyika?Baada ya kufahamu
kuhusu kilichoendelea katika
uchunguzi huo kama ulifanyika
tutawatafuta wazazi au familia ya
Joseph na kuwahoji"
"Kwa mujibu wa Juliana ni
kwamba wazazi wa Joseph
hawaishi tena hapa nchiniwanaishi nje ya nchi ila hafahamu
wanaishi nchi gani"
“Dah ! kweli hapa kuna utata
mkubwa hata hivyo hatuwezi
kushindwa.Tutatumia kila aina ya
mbinu kuwapata wauaji" akasema
Elvis na kuchukua simu
"Mkurugenzi ndiye
atakayefuatilia polisi kufahamu
kama kuna uchunguzi wowote
uliwahi kufanyika kuhusiana na
mauaji ya Joseph" akasema na
kumpigia Meshack Jumbo
"Hallow Elvis" akasema
Meshack Jumbo
"Mkurugenzi kuna jambo
tunahitaji msaada wako.Steve
ametoka kuzungumza na Juliana
kama ulivyoelekeza na tunaanza
kulishughulikia suala lake.Tunaanza kwa kuchunguza
kifo cha mpenzi wake Joseph
Mballa.Tunataka kujua kama
yalipofanyika mauaji yale kuna
jalada lolote la uchunguzi wa kifo
chake lilifunguliwa?Na kama
lilifunguliwa walifikia wapi katika
uchunguzi wao?Tunaomba
ulifanyie kazi hilo suala na kisha
utatupa majibu" akasema Elvis na
kukata simu
"Alikoenda Vicky
amefanikiwa?Steve akauliza
"Ndiyo amefanikiwa na kila
kitu kimekwenda sawa.Rais
amekubali kumuunganisha Omola
na Dr Shafi hivyo ni jukumu letu
kumuwezesha Omola kufanya kazi
yake kwa wepesi.Tunatakiwa
kupata gari zuri ambalo atakuwa akilitumia pamoja na dereva wa
kumuendesha,kuhusu hoteli
tayari Vicky amemtafutia hoteli
nzuri ya hadhi ya juu"
"Kuhusu gari hakuna tatizo
kwani nitamuomba Samira
atusaidie hata kumuendesha
kwani yeye ana gari zuri sana la
kifahari"
"Unataka kumuhusisha
Samira katika suala hili?
"Ndiyo Elvis.Tayari yeye
anafahamu kinachoendelea na
isitoshe ni mtu ambaye hawezi
kunikatalia chochote
nikimuomba"
"Good kama hutakuwa
umemsumbua"akasema Elvis. So Elvis tell me how was
she?akauliza Steve huku
akitabasamu
"Nani? Elvis naye akauliza
"Graca.How was she on bed?
"C'mon Steve sitaki tuongelee
suala hilo.Nimekwisha fanya kosa
na sitaki kulikumbuka
tena.Sikuwa nimetegemea
kufanya mapenzi na msichana
ambaye kiumri ni sawa na mdogo
wangu.Nimemkosea sana Patricia"
akasema Elvis
"Usijilaumu sana Elvis kwani
hukuwa na namna nyingine ya
kufanya.Tazama mimi
nimelazimika kulala na Vicky ili
kumpata Pascal.Japokuwa
tumemkosa lakini tumefanikiwa
kumpata Vicky ambaye amekuwa ni msaada mubwa kwetu"
akasema Steve na Elvis
akainamisha kichwa akiwaza
halafu akainua kichwa
akamtazama Steve
"Steve kuna jambo
linanichoma moyo sana kila
nikilikumbuka"
"Jambo gani ?
"Niliporejea kutoka afrika
kusini na nikafanikiwa kuipata
kompyuta ya Frank na kugundua
kwamba ana mashirikiano na
Vicky nilianza kumfuatilia Vicky
na nikaweka miadi ya kukutana
naye hotelini kwake.Nilipotoka
kuonana naye nikamshudia
Patricia akitoka hotelini akiwa na
mwanaume.Nilimtuma Doreen
akamchunguze na akakiri kwamba ni kweli ametembea nje
ya ndoa na yule mwanaume
ambaye ni daktari.Suala hili
linaniumiza kichwa sana kwani
nina uhakika huyo daktari
anaweza akaanzisha mahusiano
na mke wangu wakiamini
nimekufa.Nashindwa nifanye nini
Steve"akasema Elvis.
"Elvis kwa sasa hata mimi
siwezi kukushauri chochote
kuhusu suala hilo lakini
ninachokuomba liondoe katika
mawazo yako.Akili zetu
tuzielekeze katika suala lililoko
mbele yetu na litakapokwisha basi
tutageukia masuala mengine"
akasema Steve
"Sawa tujiandae kwa ajili ya
kwenda kumpokea Omola kwani muda unakwenda sana" akasema
Elvis

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom