GITWA
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 1,572
- 1,781
- Thread starter
- #281
Sifurahi kuona mnalalamika, ni majukumu tu ndio yamenibana. Ila kwa hakika kwisha itakwisha kwa huu msimu wa 1 maana hii riwaya ina misimu 3.Sio hatujali bali tunaikubali Sana maana mwandishi mwenyewe naamini kwa asilimia Mia moja anapenda kuona tunavyolalamika.