Riwaya: Jina langu ni Pheady

Riwaya: Jina langu ni Pheady

Imeisha nini?mbona ndugu pheady kala kona au anakula tunda la mtuli kimasikhara
 
Imeisha nini?mbona ndugu pheady kala kona au anakula tunda la mtuli kimasikhara
Haa!? Ngoja atarudi bado anaweka mambo sawa. Maana Polisi ndio wanaanza kazi ya kumsaka sijui itakuwaje kwa huyu mwamba
 
Waambie hao wasiojali shughuli za watu
Sio hatujali bali tunaikubali Sana maana mwandishi mwenyewe naamini kwa asilimia Mia moja anapenda kuona tunavyolalamika.
 
Back
Top Bottom