Ko humu amaishia sehemu ya ngapi
Humu imeishia episode ya kwanza yenye sehemu nane...Episode ya pili iko tayari ila kuipata ni kupitia watsap. tutambue na kuunga mkono vipaji hivi kwa kununua kazi zao. Wanaumiza sana vichwa kutupatia burudani.
nimecheka hadi nimepaliwa, shost kaandika kikoreaEbu soma ulichoandika kwanza
Embu niite huko kwenye peniela jamanAchana na huyo jamaa aisee
nimecheka hadi nimepaliwa, shost kaandika kikorea
Peniela ipo humu ebu tafutaEmbu niite huko kwenye peniela jaman
Kwakweli naona wengi wanaingia mitiniMpaka sasa mtunzi mahiri asiyesumbua watu na arostos ni Steve Mollel.Big up bro Steve huko ulipo!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]nimecheka hadi nimepaliwa, shost kaandika kikorea
Umemtaja kisa Pat kasema pochi nene nnMpaka sasa mtunzi mahiri asiyesumbua watu na arostos ni Steve Mollel.Big up bro Steve huko ulipo!