Snipper
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,336
- 2,171
Ko humu amaishia sehemu ya ngapi
Humu imeishia episode ya kwanza yenye sehemu nane...Episode ya pili iko tayari ila kuipata ni kupitia watsap. tutambue na kuunga mkono vipaji hivi kwa kununua kazi zao. Wanaumiza sana vichwa kutupatia burudani.