Riwaya: Kiapo cha jasusi

Riwaya: Kiapo cha jasusi

Humu imeishia episode ya kwanza yenye sehemu nane...Episode ya pili iko tayari ila kuipata ni kupitia watsap. tutambue na kuunga mkono vipaji hivi kwa kununua kazi zao. Wanaumiza sana vichwa kutupatia burudani.

Shi ngap sasa kuipata ikiwa full kabisa
 
[emoji4] asee mkuu we ni noma yan kama movie.
kiukwel naenjoy[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Mpaka sasa mtunzi mahiri asiyesumbua watu na arostos ni Steve Mollel.Big up bro Steve huko ulipo!
 
Tupac is back.....
I mean Patrick CK is back
.....one and ....only
 
Wengine vilevi vyetu ni riwaya.unaweza kukonda ukaisowa una gonjwa ndugu,kumbe ni Alost tu.
 
Back
Top Bottom