basi kwa hizo story kwa Patrick ck ndio kwao "".... Yupo huyu na Hussein Tuwa ....Mama yangu ni balaaa""......Matata kabisaa kama naangalia movie kali sana
. napenda dana story za ki intelligencia.
Asante best nampendaga Patrick simulizi zake zote nimeshazisoma namalizia hiyo Serena sasa hivi
Hahaaa dah haya bana atakuja kujibu tuhuma@Tumosa shemeji kakuharibu jamani ulikuwa haupo hivi baba kitunguu
Shunie inabidi nikutafute...
Hahaha unitafute unipeleke wapi huyo jamaa huwa haaribu
Sikupeleki mahali, nataka tuu unigawie na mimi hivo vizuri.. Tangu Peniela nimemkubali sana jamaa..
Nadhani ukiwasiliana nae mwenyew itakuwa vizuri zaidi ili nae afaidike na jasho lakeSikupeleki mahali, nataka tuu unigawie na mimi hivo vizuri.. Tangu Peniela nimemkubali sana jamaa..
Tuwa ni mzuri but kwa huyu anasubiri sana tena sanabasi kwa hizo story kwa Patrick ck ndio kwao "".... Yupo huyu na Hussein Tuwa ....Mama yangu ni balaaa""......
Ha hahhaa " mkuu umeona eeeh "" huyu Jamaa " ana balaa kubwa ...yaani mwanzo wa story tu jinsi inavyo anza " unaona kuwa hii story ni balaa"" Mimi nikisomaga story za huyu mtu "" nikija kusomaga story nyingine hzi "" stimu zote zinakata"".........Tuwa ni mzuri but kwa huyu anasubiri sana tena sana
Huyu mtu kichwa yake anaijua mwenyewe
huyu Jamaa ni genius simulizi mkuu""..... yaani nikionaga jina Patrick ck tu ....na vuta Kiti vyema na kaa Kitako haswaaaSikupeleki mahali, nataka tuu unigawie na mimi hivo vizuri.. Tangu Peniela nimemkubali sana jamaa..
bonge si la story "" hilo ""......The lost boys dear
Niwe mkweli toka nisome riwaya Sijapata riwaya zinazo nibamba kama riwaya za Kevin Mponda. Yaani hua hazinichoshi kuzisomsMkuu Patrick ck " ni moto wa kuotea mbali "" na kumbuka story ya peniela iliyokuwa inaletwa na lege "" ilikuwa inawafanya watu wachanganyikiwe ""....huyu Jamaa ni genius simulizi "" wee msikie hivyo hivyo tu"",....
Kudo900 .....umeyaona maoni ya mkuu haya"""!?..Any way ngoja nitapitia vyema na riwaya za kelvin...ila kwa sasa "" Patrick ndiye anaye nikonga moyo na akili zaidi ""Niwe mkweli toka nisome riwaya Sijapata riwaya zinazo nibamba kama riwaya za Kevin Mponda. Yaani hua hazinichoshi kuzisoms
ina actions za kimafia duhh!! hatari sanaIpo poa story...
Haha na crazy hansbonge si la story "" hilo ""......