hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Alaaaa kumbe ""Yupo hujaona comment zake juu hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alaaaa kumbe ""Yupo hujaona comment zake juu hapo
Habib hanga ..the bld mwenyewe alinyooshaga mikono juu " kwa Patrick...enzi zile za peniela...
hahaha ..sasa siunitag mkuu" wasubiri nini aiseee...au haipo Humu "...?Kuna hiyo The Football, aisee ni kama vile unaangalia muvi ya James Bond..
hahaha ..sasa siunitag mkuu" wasubiri nini aiseee...au haipo Humu "...?
Paniela inashinda ufukwe wa MadagascarHabib hanga ..the bld mwenyewe alinyooshaga mikono juu " kwa Patrick...enzi zile za peniela...
Anyway labda anaona kwake ndio sahihi.Hayupo UWARIDI
Utaratibu upo njiani:Anyway labda anaona kwake ndio sahihi.
Wewe kazi zako zinapatikana Hadithi App?
Vizuri kama **** maslahi nakutakia mafanikio. Vp uandishi wa makala humu jf huandikiUtaratibu upo njiani:
Zangu sasa zinahaririwa UWARIDI na uongozi wa hadithi App
Makala zipo kule Intelligence japo si nyingi sanaVizuri kama **** maslahi nakutakia mafanikio. Vp uandishi wa makala humu jf huandiki
Mmmhh " mbona ana andikaga "...Vizuri kama **** maslahi nakutakia mafanikio. Vp uandishi wa makala humu jf huandiki
Anhaaa "" kumbe ""...!Hiyo haipo hapa JF kuna mahali niliisoma..
Hazipo humu zipo WhatsApp kwake ukilipia anakutumiaNitag huko""...mkuu" mbona hiyo mimi sijaisoma...Aiseee huyu Jamaa sitakagi kabisa simulizi zake zinipite ""....yaani
Hata sikumuelewa nahisi atakua ana undugu na sky eclat kwa kuchapia
Mfyuuuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Malipo yakoje ""...?Hazipo humu zipo WhatsApp kwake ukilipia anakutumia
Mweee ni typing error jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana watakuwa ndugu na sky
MwenyeweMfyuuuuu
Nafikiri ni vzr ukiwasiliana nae mwenyeweMalipo yakoje ""...?