Riwaya: Kijijini kwa Bibi

Riwaya: Kijijini kwa Bibi

Nimejitahidi kuweka nyingi kidogo ili tuimalize chap.
Tutaendelea kesho asubuhi, kimsingi ndio tutakua tunamalizana na 'kijijini kwa bibi'

the Legend☆
Asante dear
Huyu mkuu wa polisi nimetokea kumchukia afe tu
 
Mm mwenyewe mwanzoni nilijuaga ke nikamkuta chit chat analumbana na mwanaume mwenzie alimwita ke nilicheka
Humu jina haliwakilishi jinsia....mengi tu huwezi changanua!

Sema wapo pia wasiotaka kujulikana jinsia zao... ..

Ila labda kwa mbali ni kweli kuna mtu alikuja p kuniuliza kama mimi ni ke au me..maana tulijibizana... ..nikamjibu..mpaka leo ni rafiki yangu mzuri !
Afu shuu acha unabe wangapi humu wanadhaniwa ni ke kumbe me?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaa, vipi na huyo wa huko alimstiri kama Prisoner of hope au alimvua nguo akabaki kama samaki?[emoji23][emoji23][emoji23]

the Legend☆
Niulize mwenyewe si nipo?

We namnagani vipi wewe?

Lione vile..unapoozea machungu kupitia shuu sio..haya ngoja basi..

Afu nishasahau kabisa.. sijui nilimjibuje ila aliomba radhi !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom