RIWAYA: Mifupa 206

Jamaa alitoka kwenye chemba za maji machafu halafu akapata teksi bila ya dereva kujali harufu halafu akaenda hotel nyota tano kulala na dem bila kuoga inawezekana kweli? Na dem wala hajamuuliza wewe mbona unanuka?
 
Nobody's perfect, ye amekuwa nan hadi asipitiwe na kuacha vijimistake vdogo vdogo km ivo,
 
Jamaa alitoka kwenye chemba za maji machafu halafu akapata teksi bila ya dereva kujali harufu halafu akaenda hotel nyota tano kulala na dem bila kuoga inawezekana kweli? Na dem wala hajamuuliza wewe mbona unanuka?
Siyo kila kitu lazima kiandikwe
 
Mmoja wa watu wanaoisoma hii kitu kimya kimya ni mimi

Mwandishi usidhani unafanya kazi ya bure...tupo
 
Jamaa alitoka kwenye chemba za maji machafu halafu akapata teksi bila ya dereva kujali harufu halafu akaenda hotel nyota tano kulala na dem bila kuoga inawezekana kweli? Na dem wala hajamuuliza wewe mbona unanuka?
wew sis tunaipenda tu ata tukiambiwa amekufa then akaendelea na mishe ss tunasoma tu sasa wew unaejudge tunga yako perfect ujisomee
 
Jamaa alitoka kwenye chemba za maji machafu halafu akapata teksi bila ya dereva kujali harufu halafu akaenda hotel nyota tano kulala na dem bila kuoga inawezekana kweli? Na dem wala hajamuuliza wewe mbona unanuka?

Andika yako!!!!
 
Andika yako!!!!
Shida yetu wabongo hawakubali mtu akiwa na mawazo tofauti hata movie mbona uwa zinaelezwa criticism zilizopo! Usiwe km kondoo sababu unasoma bure basi uwezi kutoa marekebisho, hiyo inamsaidia mwandishi kujua wp alikuwa wrong
 
Uwe na shukrani wewe Sizonje!
Usiwe bwege mtu kuonyesha udhaifu ni jambo la kawaida sana ni ktk kuongeza umakini wa mwandishi mpo km mikondoo ndio maana mnaongozwa na ccm milele.
 
Mwandishi hata awe makini vipi kukosea kupo na lazima itokee tu na ni vitu vya kawaida kutokea kwenye uandishi
 
Hii ishakua arosto sasa kila muda kuchek kama BANKER ameshafanya yake dzain tunasubir mshahara vile

[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
duh! hujawahi kuisoma kumbe! utarejesha mrejesho tz tuna watunzi wazuri ni muda wa bongo movie wafanyie kazi simulizi hizo tena wazitendee haki ili nawatunzi wafaidike.
Tatizo mtaji, ukitengeneza mfano movie ya hii Mifupa 206 uandae bajeti ya kabilioni fulani hivi angalau
 
Ila mvua nayo ina hila. Toka stori ianze inayesha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…