Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nobody's perfect, ye amekuwa nan hadi asipitiwe na kuacha vijimistake vdogo vdogo km ivo,Jamaa alitoka kwenye chemba za maji machafu halafu akapata teksi bila ya dereva kujali harufu halafu akaenda hotel nyota tano kulala na dem bila kuoga inawezekana kweli? Na dem wala hajamuuliza wewe mbona unanuka?
Siyo kila kitu lazima kiandikweJamaa alitoka kwenye chemba za maji machafu halafu akapata teksi bila ya dereva kujali harufu halafu akaenda hotel nyota tano kulala na dem bila kuoga inawezekana kweli? Na dem wala hajamuuliza wewe mbona unanuka?
Uwe na shukrani wewe Sizonje!Jamaa alitoka kwenye chemba za maji machafu halafu akapata teksi bila ya dereva kujali harufu halafu akaenda hotel nyota tano kulala na dem bila kuoga inawezekana kweli? Na dem wala hajamuuliza wewe mbona unanuka?
wew sis tunaipenda tu ata tukiambiwa amekufa then akaendelea na mishe ss tunasoma tu sasa wew unaejudge tunga yako perfect ujisomeeJamaa alitoka kwenye chemba za maji machafu halafu akapata teksi bila ya dereva kujali harufu halafu akaenda hotel nyota tano kulala na dem bila kuoga inawezekana kweli? Na dem wala hajamuuliza wewe mbona unanuka?
Jamaa alitoka kwenye chemba za maji machafu halafu akapata teksi bila ya dereva kujali harufu halafu akaenda hotel nyota tano kulala na dem bila kuoga inawezekana kweli? Na dem wala hajamuuliza wewe mbona unanuka?
Shida yetu wabongo hawakubali mtu akiwa na mawazo tofauti hata movie mbona uwa zinaelezwa criticism zilizopo! Usiwe km kondoo sababu unasoma bure basi uwezi kutoa marekebisho, hiyo inamsaidia mwandishi kujua wp alikuwa wrongAndika yako!!!!
Usiwe bwege mtu kuonyesha udhaifu ni jambo la kawaida sana ni ktk kuongeza umakini wa mwandishi mpo km mikondoo ndio maana mnaongozwa na ccm milele.Uwe na shukrani wewe Sizonje!
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]wew sis tunaipenda tu ata tukiambiwa amekufa then akaendelea na mishe ss tunasoma tu sasa wew unaejudge tunga yako perfect ujisomee
Mwandishi hata awe makini vipi kukosea kupo na lazima itokee tu na ni vitu vya kawaida kutokea kwenye uandishiUsiwe bwege mtu kuonyesha udhaifu ni jambo la kawaida sana ni ktk kuongeza umakini wa mwandishi mpo km mikondoo ndio maana mnaongozwa na ccm milele.
Hii ishakua arosto sasa kila muda kuchek kama BANKER ameshafanya yake dzain tunasubir mshahara vile
Tatizo mtaji, ukitengeneza mfano movie ya hii Mifupa 206 uandae bajeti ya kabilioni fulani hivi angalauduh! hujawahi kuisoma kumbe! utarejesha mrejesho tz tuna watunzi wazuri ni muda wa bongo movie wafanyie kazi simulizi hizo tena wazitendee haki ili nawatunzi wafaidike.
Kevin Mponda inaelekea anapenda sana mvua. Halafu anahadithia mno, kwa mfano anaweza kuchukua kurasa 3 kukielezea chumba na vitu alivyovikuta!Ila mvua nayo ina hila. Toka stori ianze inayesha tu
Kevin Mponda inaelekea anapenda sana mvua. Halafu anahadithia mno, kwa mfano anaweza kuchukua kurasa 3 kukielezea chumba na vitu alivyovikuta!