RIWAYA: Mifupa 206

RIWAYA: Mifupa 206

Baada ya kuona simulizi hii inasuasua nikaamua kuiweka kipolo kwanza ili isogee mbele kidogo, Leo narudi nakuta badoooo aisee mtunzi una utani na watu kabisa. Ungekuwa unaishi huku mtaani kwetu ningekukaba kabali ya shingoni kabisa.
 
Haaaha au kabali ya mbao yenye misumari,akijitikiza maumivu yanazidi!!!
 
Back
Top Bottom