Riwaya: Mkimbizi

Riwaya: Mkimbizi

Huu ni UWIZI wa kazi za sanaa za watanzania wenzetu..badala ya kuwasaidia kazi za sanaa zisonge mbele, tunazihujumu..
Nashangaa Mods wanauacha huu Uzi wakati limesharipotiwa.

Tuwaunge mkono waandishi wa Riwaya Tanzania, wanafanya kazi kubwa sana sasa katika kuinuka tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom