Boniphace Bembele Ng'wita
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 3,475
- 1,860
Noted
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Mwanakijiji, nikinunua Amazon kinakuwa kwenye lugha ya kiswahili au kiingereza?
Asante Mzee MwanakijijiKiko katika lugha ya Kiswahili... sijatafsiri bado kwa Kiswahili
Asante Mzee Mwanakijiji
Eeeeeh ndiwooo[emoji120] [emoji120]Mnafuatilia lakini...
Eeeeeh ndiwooo[emoji120] [emoji120]
Tunafatilia sanaMnafuatilia lakini...
Tunafatilia sana
SURA YA KUMIMAMIA YA WAUMINI waliohudhuria ibada walijisikia kubarikiwa na walisifia kuwa Jumapili ile ilikuwa na upako wa kipekee kabisa. Shuhuda mbalimbali zilizotolewa wakati wa ibada ziliwafanya wenyeji washangilie na wageni wapigwe na butwaa. Watu walimsifu Mungu na kushangilia jinsi anavyomtumia mtumishi wake kwa matendo yake makuu ya ishara, uweza na miujiza. Askofu Damien Ndondo alisimama kwenye lango kuu la kuingilia kanisani akisalimiana na watu na kupokea mikono ya pongezi kutoka kwa waumini wake na wageni mbalimbali waliohudhuria ibada ya tatu katika Kanisa la Mavuno. Ibada iliyoanza saa nne na nusu iliisha karibu majira ya saa saba na nusu hivi huku wengine wakitamani ingeedelea japo kidogo. Utani mkubwa wa waumini ulikuwa ni wengi hawakutaka kutoka pale kanisani wakidai ni bora wajenge vibanda kama Petro alivyopendekeza kwenye ule Mlima wa Mageuzo alipowaona Eliya na Musa wakizungumza na Yesu.
Mabasi ya rangi ya bluu na nyeupe yaliyoleta watu pale kanisani kutoka maeneo mbalimbali ya Jiji yalikuwa yamejipanga kuanza kuchukua abiria wake upande mwingine wa kanisa ambapo kulikuwa na eneo la kuegeshea mabasi. Kanisa la Mavuno lilikuwa na mabasi makubwa ishirini ambayo yalikuwa yanachukua watu kila Jumapili na kuwaleta kanisani na kuwarudisha hadi maeneo ambayo yana vituo vikubwa vya mabasi. Hii ilikuwa rahisi kwa watu wasio na usafiri wowote kuweza kufika pale kanisani.
Wale waliokuwa na usafiri wao mbalimbali walikuwa wameegesha magari na pikipiki zao katika eneo kubwa la simenti la kuegeshea magari lililozunguka kanisa. Kanisa Kuu la Askofu Mkuu Ndondo kwa ndani lilikuwa linafanana kabisa na lile kanisa kubwa la Second Baptist la Houston, jimbo la Texas nchini Marekani. Kanisa la Mavuno lilikuwa kubwa zaidi zaidi kwa upana wake na paa lake lilikuwa limeinuliwa juu kabisa ambapo msalaba mkubwa ulikuwa umesimama ukionekana kutoka sehemu mbalimbali za karibu.
Kanisa lilikuwa na sehemu kuu tatu za watu kukaa wakati wa ibada. Sehemu ya kwanza ya chini iliyozunguka madhabahu katika mtindo wa duara iligawanywa katika sehemu saba zilizokuwa zimekaa kwenye maumbo kama mstatiri hivi yakiwa na viti vilivyopangwa vizuri katika safu kumi zenye vita kumi kumi. Nyuma ya sehemu ya kwanza zilifuata safu nyingine nazo zikiwa katika makundi makundi; na sehemu hizo zote zilifanya kanisa liwe kama na miduara mitano ya vita ikizunguka madhabahu. Safu zile saba zilichukua watu elfu tano na kufanya kwa kukaa tu eneo la chini, kanisa lilichukua watu elfu thelathini na tano.
Sehemu saba za juu ambazo zilikuwa ni majukwaa zilizunguka kanisa kutoka kona moja hadi kona nyingine zikitengeneza nusu mviringo na zenyewe. Kila sehemu ilikuwa na uwezo wa kuchukua watu mia nne. Sehemu zile za juu zilijengwa kwa mtindo kama wa ngazi za majukwaa ya viwanja vya mpira ambapo watu walikaa wanaangalia chini kama vile wako uwanjani.
Baada ya kusalimiana na waumini mbalimbali baada ya ile baada Askofu Ndondo na wasaidizi wake walikuwa walikutana kwenye ofisi yake ya pale kanisani na kupeana taarifa chache na kufanya maombi mafupi ya kumshukuru Mungu kwa ibada. Baada ya watu wengine wote kuondoka alibakia Mzee Suku na Mama Jericho. Kama kawaida mambo yao hawakutaka kuyazungumzia pale. Waliamua kutoka na kutembea kuelekea kwenye jengo la ofisi za huduma nzima kwenye jengo la pembeni. Wakati wakiwa wanatembea kutoka kanisani Suku na Mama Jericho walimpa taarifa chache za ugeni uliokuwa unamsubiri.
Suku na Mama Jericho hawakutaka kwenda ofisini kwa Askofu kwani walikuwa na shughuli zao nyingine Jumapili ile. Walimuaga na kama ilivyokuwa kawaida yake unapokuja ugeni wake aupendao basi walijua usiku ule angeenda pale kwenye makazi yake yale mengine, maskani ambayo yalikuwa yanajulikana kwa watu wachache sana kwani wengi walifikiria ni majengo ya taasisi ya serikali.
Askofu Damien alijisikia moyo ukimuenda mbio na kijasho kikianza kumtoka akiwazia kukutana na wageni wake wale. Zilikuwa zimepita siku kadhaa tangu wawasili na alikuwa hajapata nafasi ya kwenda kule lakini Jumapili ile ilikuwa ni siku muafaka. Grace mke wake alikuwa amesafiri kwenda China kufanya manunuzi mbalimbali ya vitu vya nyumbani. Askofu Ndondo alisubiri kwa hamu jionie iingie aende kule kwingine; kule ambako wengi walikuwa hawajui kwamba kupo.
SAA NNE za usiku Askofu Damien alifika Mloganzila kwenye makazi yake mengine ya siri. Eneo lile liliandikishwa kama sekondari ya Seminari ya Mabinti wa Sifa - Daughters of Praise Girls Seminary. Makazi yake ya siri na ile shule yalikuwa kwenye eneo la kiwanja kikubwa cha karibu hekta mia tatu za mraba. Eneo lenyewe liligawanywa sehemu mbili kubwa. Hakuna aliyejua kwa uhakika alipataje eneo kubwa namna ile sehemu ile. Upande mmoja ambao ulikuwa unatazamana na upande kilipo Chuo Kikuu a Kitabibu cha Mloganzila ulikuwa ni shule mpya ambayo ujenzi wake ulikuwa unaelekea kukamilika ukiwa na majengo ya kisasa yakianza kuinuka taratibu. Shule ile ilikuwa inatarajiwa kuchukua wanafunzi wa kidato cha tano na cha sita tu.
Ujenzi wa shule ulichukua muda mrefu sana kuliko ilivyodhaniwa hasa kwa mtu mwenye ukwasi kama Askofu Ndondo. Hilo halikuwa kwa bahati mbaya kwani wakati ujenzi wa shule unaendelea Askofu alikuwa anatumia kujenga nyuma ya shule ile makazi yake maalum, mahali alipopaita yeye mwenyewe kuwa ni Paradiso yake duniani. Kulikuwa na ukuta mkubwa uliotenganisha eneo la shule na eneo la makazi. Barabara moja inayotokea barabara kuu iligawanyika ilipofika tu eneo la shule; moja iliingia kwenye geti la shule, na nyingine ilizunguka nyuma ya jengo lile. Kulikuwa na ubao mkubwa uliokataza watu au magari kwenda kuzunguka upande huo na kulikuwa na geti lenye walinzi masaa ishirini na nne.
Ili kuingia upande wa makazi mtu ilimpasa azunguke ukuta mkubwa uliozunguka eneo zima lile ambalo kwenye ramani za google lilionekana kama ngome fulani hivi kwa ukubwa wake. Ilikuwa ni vigumu kujua kama sehemu zile mbili zinahusiana kiutawala kwani nyuma ilionekana ni majengo ya majumba na ule ukuta haukukwa na lango kati yake kati ya sehemu zile mbili.
Askofu alipofika pale Mloganzila alipokelewa na Mama Jericho. Mzee Suku hakuwepo na kwa kawaida hakuwa pale wakati wowote Askofu alipokuwa pale isipokuwa tu kama Askofu amemuagiza ili wapate kuzungumza mambo fulani. Muda wote ambao Askofu alikuwa pale alikuwa akihudumiwa na wanawake peke yao. Kulikuwa na bustani kubwa ukiingia kutoka lile geti la nyuma. Upande wa kushoto nyuma ya jengo la makazi kulikuwa na bwawa kubwa la kuogelea lililozungukwa na miti midogo ya maua iliyopandwa kimkakati kulificha kutoka jengo ya walinzi. Kulikuwa na majengo makubwa matatu ya kuishi watu; lile la walinzi na majengo mawili yaliyoungana. Kulikuwepo pia na jengo jingine kubwa zaidi ambalo lilikuwa la kuegeshea magari upande wa kushoto wa jengo la walinzi. Katikati ya kiwanja kulikuwa na bustani nzuri ya maua iliyokuwa imezunguka chemchemi inayorusha maji angani, na wakati usiku kama wakati Askofu alipofika siku ile taa za rangi rangi rangi zilipamba kuzunguka chemchemi hiyo.
Kwenye jumba aliloingia Askofu Mkuu ilikuwa ni kama kuingia kwenye konventi ya watawa wa Kikatoliki. Watu pekee waliokuwa kwenye jengo lile walikuwa ni wanawake na mabinti; hakuna mwanaume aliyeruhusiwa kuingia zaidi zaidi ya sebuleni na kwa sababu maalum. Viongozi pale walijulikana kwa majina ya kitawa kama Mama Mkuu, Mama Kiongozi, Mama Mkuu Msaidizi na vitu kama hivyo. Mama Jericho ndiye alikuwa Mama Mkuu wa nyumba ya Mabinti wa Sifa.
Mama Jericho alikuwa amebadilisha mavazi yake kutoka aliyokuwa nayo kanisani na kuvaa yale ya pale nyumbani yenye kuonesha hadhi na cheo chake kama Mama Mkuu. Alikuwa amevaa vazi refu la gauni la rangi ya bluu iliyoiva huku akiwa amejifunga aproni nyekundu kiunoni kama ya wapishi. Haikuwa aproni ya kipishi bali alama ya hadhi yake. Aproni yake ilikuwa na picha ya samba ya kudarizi ya rangi ya dhahabu. Shingoni mwake alikuwa amevaa skafu ya mraba ya rangi nyeupe iliyoangukia pembe za mabega yake ikifanana na zile zinazovaliwa na watumishi wa misa.
Mama Jericho alikuwa amesimama na mabinti sita warefu waliosimama pande mbili karibu na mlango. Mabinti wote sita walikuwa wamechaguliwa kwa makusudi kabisa kwa siku zile ambazo Askofu atakuwa pale. Mabinti wale wao walikuwa wamevaa pia sare ya mavazi kama ya Mama Jericho lakini ya kwao yakiwa bila aproni bali mikanda ya rangi nyeupe. Badala ya kuvaa aproni shingoni magauni yao yalishonewa kola nyeupe zilioinuliwa kuzungusha shingo zikifia pande za masikio. Ukiwaangalia kutoka nyuma hukuweza kuona shingo zao, bali kichoko na nywele zao tu.
Wote walikuwa wamefunga nywele zao nyuma au walikuwa na nywele fupi zilizokatwa vizuri. Mabinti wale walivaa vikofia vya rangi nyekundu kichwani vikishikizwa na pini na kuonekana kama za manesi. Maumbile ya mabinti wote wale yalikuwa ni ya wembamba kiasi na warefu wa wastani. Vifua vyao vilikuwa vimejaliwa na makalio yao yalibarikiwa na kujaa neema za kushikwa na kushikika kama yanakaribia kumwagika. Hayakufichika. Yalikuwa kama yale ambayo mhubiri maarufu wa Kiislamu Sheikh Kipozeo aliwahi kuyasifia kwenye video iliyosambaa sana miaka kadhaa nyuma. Shehe Kipozeo alidai kuwa maumbile ya namna ile yalikuwa ya Kibantu hasa yaliyojaa “neema za Allah”. Mabinti wale wangepewa nafasi ya Umiss fulani kwa hakika wangetoka na tuzo fulani.
“Mhashamu Baba Askofu” mabinti wote sita kwa mpigo walimsalimia huku wakiinamisha vichwa vyao alipoingia ndani tu na kupiga goti kwa wakati mmoja kama wanavyosalimia mabinti wa Kisukuma. Hakuna aliyeinua kichwa chake hadi Askofu alipowasalimia kwa kuwashika mikono. Moyo ulikuwa unamdunda kama kufuata mapigo ya ngoma ya Wanyasa ya Mganda. Macho yake yalihama hama na kuwapekua mabinti wale toka juu hadi chini. Na chini yalifika na kupitiliza.
Hawa walikuwa ni wale aliowachagua kutoka miongoni mwa mabinti wengi waliopo pale na walikuwa ni wazoefu wa mambo yake. Mara zote alipofika Mloganzila alitaka kuwaona wale waliomzoea na yeye kuwazoea kabla hajawaona wageni na wapya wapya.
“Warembo wangu, hamjambo jamani” aliwasalimia mmoja mmoja kwa kuwashika mikono akiwapita kuelekea sebuleni. Nyuma yake alifuatiwa na Mama Jericho. Wasichana wale waliwafuata nyuma wakiwa wamejipanga na wakitembea taratibu na walipofika sebuleni wasichana walisimama pembeni huku Askofu Damien akienda kwenye kochi lake kubwa la kifahari lililokuwa limewekwa mahali ambapo alipata nafasi ya kuona sehemu kubwa ya ndani ya nyumba yake. Ilikuwa ni sebule kubwa iliyokuwa na nafasi kuliko hata ya nyumba yake ya kawaida ya kule Kanisa la Mavuno.
Hapa hata hivyo palijengwa hivyo kwa makusudi maalumu. Wasichana wale sita wakiongozwa na Jestina Zebroni walikuwa wamesimama wanasubiri maelekezo kutoka kwa Mama Jericho. Hawakutakiwa wala kuruhusiwa kusema lolote hadi watakaposemeshwa na Askofu.
Askofu alipoketi tu Mama Jericho alimsogelea na Askofu alimnong’oneza kitu. Mama Jericho alipoitikia tu aliinuka na kuwageukia wale mabinti, aliwaruhusu wengine kuelekea kwenye vyumba vyao isipokuwa Jestina. Wengine walikuwa tayari kuitwa na Askofu mwenyewe wakati wowote na wakati mwingine hakuhitaji hata kuwaita; aliingia tu kwenye vyumba vyao. Mabinti wale hawakutakiwa kufunga milango ya vyumba vyao. Walikuwa kama kuku bandani, wakisubiri jogoo. Mabinti wote sita walikuwepo kwenye vyumba vilivyokuwa karibu na cha Askofu na ndio walikuwa na jukumu la kumpa huduma zote na kusimamia mahitaji yake yote atakapokuwa pale kwa siku zile.
Hawa walikuwa ni wadada wakubwa katika nyumba ile wakiwaongoza mabinti wengine katika namna, na mambo ya kuweza kumhudumia Askofu katika mambo yote ya chumbani. Kila mmoja alikuwa na historia yake ya jinsi gani alifika kuwepo pale, na hakuna aliyekuwa na historia nzuri ya kusimulia. Mabinti wote walikuwa wanajihisi kama wafungwa kwani hawakuweza kutoka ndani ya eneo lile bila kusindikizwa na mmoja au wawili kati ya walinzi waliopo pale, na hawakwenda popote ambapo hawakutakiwa kwenda katika eneo lile. Na mahali popote walipotaka kwenda walienda kwa ruhusa ya Mama Jericho au Mzee Suku na mara zote walienda na mpambe au wapambe.
Jestina alijua anatakiwa kufanya nini; alienda moja kwa moja kwenye chumba cha Askofu na kujiandaa. Aliweka pembeni nguo zile ambazo zilionekana kama za kitawa na kuchukua nguo ambazo zilishaandaliwa mle ndani ya chumba kile kikubwa, nguo ambazo huvaliwa wakati wa kulala kwa mtu apendwaye ili kuamsha hisia zake za mapenzi. Alitakiwa kuvaa nguo ambazo zitampendezesha mbele ya Askofu Ndondo.
Mama Jericho aliondoka kuelekea chumba cha Mama Mkuu ambapo alikuwa anaenda kupumzika kwani asubuhi ana majukumu ya kuanza kuwaandaa wale mabinti wageni kwa shughuli kama ya kina Jestina. Lakini pamoja na hao alikuwa anatakiwa kuwasimamia mabinti wengine wanne ambao walikuwa wana ujauzito ambao wanatarajia kuangaliwa na mmoja wa madaktari ambaye yuko pia kwenye malipo ya Askofu. Daktari huyo alikuwa ni mstaafu na alikuwa anatoa huduma pembeni baada ya kusaidiwa na Askofu kimaisha. Wakati wa utumishi wake alikuwa mmoja wa madaktari mabingwa wa magonjwa ya kina mama kwenye hospitali ya Bombo mkoani Tanga lakini alifukuzwa baada kuwa na tatizo la muda mrefu la ulevi.
Askofu Ndondo alikuwa pia na manesi watu wazima ambao walitoa huduma ya uzazi pale pale nyumbani wakati wowote ilipokuwa inahitajika na watu walikuwa wanatunza siri sana kwani maisha na mafanikio yao yalimtegemea Askofu yule. Na walioanza kuhoji hoji kilichokuwa kinaendelea hawakupewa nafasi ya kuungana na familia zao tena. Miili ilikuwa inaokotwa mara kwa mara kwenye fukwe za bahari au karibu na mito ikiwa kwenye mifuko ya salfeti na hakuna aliyejua inatoka wapi. Watu walikuwa wanashambuliwa na mapanga na risasi na lawama walipewa “watu wasiojulikana”. Laiti wangejua.
Mama Jericho alipotoka tu, Askofu naye alipanda kuelekea chumbani kwake. Alipoingia tu alikuwa kama mbwa aliyeachiwa nje baada ya kufungwa ndani kwa muda. Macho yake yalipomuona Jestina alivyolala pale kitandani akijifanya kapitiwa na usingizi akili yake yote ilimpagawa, alivua nguo zake kwa haraka na mwili wake ukitangaza akili na damu ya mwili wake ilikuwa imeelekezwa wapi.
Askofu aliamini ilikuwa ni halali yake. Na alijihalalishia.
Jestina alitakiwa kuonesha anafurahia mambo yote hayo yote ambayo alikuwa atendewe na Askofu yule, na alifanya hivyo. Hakuwa na jinsi, hakuwa na njia. Askofu alimparamia bila hodi wala karibu. Na Usiku ule haukuwa wa Jestina peke yake. Kabla ya asubuhi kufika baada ya ndege kuanza kuimba tu Askofu alikuwa amesheenda kwa binti mwingine kule ghorofani na kuendelea na matendo yake yale.
Kwa siku zote tatu alizokuwa pale aliwapitia mabinti wote sita kwa jinsi alivyotaka mahali popote alipotaka ndani ya jumba lile. Na wakati mwingine alitaka kuwa nao wawili kwa wakati mmoja na alikuwa nao. Mabinti wale walishangazwa na nguvu zake na kiu yake, ingekuwa mtu mwingine wa kawaida angeonesha kuchoka lakini Askofu yule aliongeza nguvu zake pia kwa dawa za Viagra na mabinti wale walichoshwa kama na kijana wa miaka ya ishirini hivi tena mbeba vyuma.
Siku ya mwisho kabla ya kuondoka pale na kurudi nyumbani kwake akiwa anatarajia mke wake wa ndoa naye kurudi siku inayofuatia alipata nafasi ya kuwaona wale mabinti wadogo ambao walikuwa wameanza kuandaliwa kwa ajili yake. Walikuja tu kutambulishwa kwake pale nyumbani. Wale mabinti wakubwa walianza kuwafundisha wale watoto mambo ya kiutuuzima kwa geresha za kila aina na kuwasisitizia kuwa ndio kukomaa kwenyewe huko. Wote wanne walikuwa bado hawajaguswa na mwanamme japo walishayasikia mambo hayo kwa marafiki kama katika utani na stori za watoto wa kike. Hawakuwa na uhakika wa nini kinawangojea, waliambiwa tu mwanzoni wataenda kumuona Askofu aliyewadhamini ambaye jina lake walikuwa wamelisikia sana.
Askofu alpowaona moyo ulimpasuka, hakuamini wangekuwa makinda namna ile na wazuri wa kupendeza kwa macho, wazo la kuwa nao hata kwa dakika chache lilimchemsha damu yake tena. Lakini alijua hawakuwa tayari lakini alijua kwa wiki mbili zijazo watakuwa tayari awaonje. Alimpongeza Mama Jericho kwa kazi nzuri. Aliondoka pale kwa furaha kabisa akiwa na hamu na kiu ya kurudi pale mapema iwezekanavyo.
Akitoka Mwanza alijiapia kuwa atawahalalisha wale mabinti. Wazo hilo lilimpa joto kuanzia utosini hadi unyayoni.
Mzee kumbe bado unaiendeleza fani?
Hivi zile za zamani zinapatikana wapi? Kama ile ya Chiku na Mwanakijiji....au ile ya Mwanakijiji alipoenda Marietta, GA....
Mzee kumbe bado unaiendeleza fani?
Hivi zile za zamani zinapatikana wapi? Kama ile ya Chiku na Mwanakijiji....au ile ya Mwanakijiji alipoenda Marietta, GA....
Endelea basiUhondo unaendelea hapa