idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,284
- 38,364
- Thread starter
- #361
Si haki kabisa mnavyotutendea
Mkijua huu msako ni Uzi pendwa na kutuekea porojo ilhali mkiamini tutapita na tutasoma.
Baraza hii kwetu wengine ni mahala pa kuturejeshea utulivu wa mioyo baada ya kumtumikia mkoloni siku nzima jumlisha kuganda kwenye foleni SAA kadhaa tukirejea kwenye pagala zetu.
Alieanzisha huu Uzi kwa lengo la kutudorishia na alaaniwe ikibidi dole gumba lake lioze.
Samahani mkuu nitaimaliazia kwa usahihi ndani siku mbili hizihizi tuwiane radhi.