Si haki kabisa mnavyotutendea
Mkijua huu msako ni Uzi pendwa na kutuekea porojo ilhali mkiamini tutapita na tutasoma.
Baraza hii kwetu wengine ni mahala pa kuturejeshea utulivu wa mioyo baada ya kumtumikia mkoloni siku nzima jumlisha kuganda kwenye foleni SAA kadhaa tukirejea kwenye pagala zetu.
Alieanzisha huu Uzi kwa lengo la kutudorishia na alaaniwe ikibidi dole gumba lake lioze.
Samahani mkuu nitaimaliazia kwa usahihi ndani siku mbili hizihizi tuwiane radhi.
nimekusamehe mkuu
Samahani mkuu nitaimaliazia kwa usahihi ndani siku mbili hizihizi tuwiane radhi.
Sasa mkuu hizo siku mbili bado??? Mana kuna mtu nae alisema umekufa basi tafranii.. Sasa fanya uimalizie ili tuthibitishe kuwa ule ilikuwa uzushi we uko hai
Mkuu kwa heshima ya wadau wote nitajitaidi nimalizie ,japo ni kipande kidogo kilichosalia!
Mkuu kwa heshima ya wadau wote nitajitaidi nimalizie ,japo ni kipande kidogo kilichosalia!
Du mkuu Idawa wapi tumalizie story mkuu.mmhh bado wajameni
Mkuu idawa you are missing in actionMkuu kwa heshima ya wadau wote nitajitaidi nimalizie ,japo ni kipande kidogo kilichosalia!