Riwaya: Msako wa Hayawani

Riwaya: Msako wa Hayawani

Hongera Mkuu idawa sikujua kama una kipaji cha utunzi Mkuu. Mie wala sijaisoma ila nilikuwa nafuatilia michango ya wasomaji wa riwaya hii ambao wanaelekea wameipenda sana. Kila la heri Mkuu.
 
Last edited by a moderator:
nimeamini kila mtu na ulevi wake yaani kila muda nakuja kuchungulia sikuti mzigo hapa
 
idawa weeee mwenzako hii foleni huwa naipoza kwa MSAKO WA HAYAWANI sasa leo unaua bendi mkuu. Kama unabanwa sana mpatie collabo mdau mwingine muwe mnatupia kwa zamu km kidikudi na wenzake
 
Back
Top Bottom