Fortunatus Buyobe
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 463
- 1,127
- Thread starter
- #181
This is a million dollars question hapa nauangalia upeo wa mtunzi kwa jicho la tatu. Jamaa anastahili pongezi. Lazima mtunzi awe ni msomi wa fani flani tusiyoijuaUnawaza nini? Dr. Amanda Albro akaniuliza kama mtu anioneaye huruma.
“Najaribu kutafuta sababu zilizomfanya Dr. François Tresor anidanganye,
lakini nijuavyo mimi ni kuwa mtu hawezi kujiongezea dhambi ya uongo kira-
hisi hadi pale uongo wake uonekane kuwa na maslahi fulani kwake, lakini
siwezi kufahamu ni maslahi gani wakati alikuwa na hakika kuwa maisha yake
yalikuwa yamefika ukingoni” nilijikuta nikijisemea mwenyewe.