definition
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 972
- 1,584
Mzigo ume tulia...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwandishi huyu ni hatari aseeh yaani najiona nimeshakuwa jasusi tayari hhahahaha
nipewe mission na mim
Hahaaaa alete taarifa badaa ya nusu saaHaya nenda kafuatilie Nisan Patrol nyeupe ulete taarifa hapa ndani ya masaa 6
Hahaaaa alete taarifa badaa ya nusu saa
Mimi hapanaNawe wataka mission..?
Nenda Msitu wa kongo ukalete taarifa juu ya wauaji wa vijana wetu. Nakupa siku tatu comrade.
Mimi hapana
Bora uniue tuUnakataa amri kutoka kwa kamanda..
Bora uniue tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Muda ushaisha kalete bakora na betri la umeme nikutengeneze..
Wadau kama nilivyoahidi leo naanza kuishusha riwaya ya tai kwenye mzoga mpaka mtunzi atakavyonielekeza tofauti. Mtunzi wa riwaya hii ni yule yule KELVIN e. MPONDA. Wasiliana naye kwa namba 0688058669Hapa ni mateso bila chuki
Kaka jamaa anajua kuadithia mpaka mtu unajiona kama upo ndani ya tukionilipofika kwenye lile eneo la mapokezi mahali ku-
lipokuwa na watu wengi nikafyatua risasi mbili hewani na hapa nilishindwa
kuelewa nani alikuwa mgonjwa na nani alikuwa mzima kwani kila mmoja ali-
yekuwa eneo lile alinyanyuka na kuanza kutimua mbio akishika uelekeo wake.
Hivyo kukawa na msongamano usioelezeka na mimi nikautumia mwanya huo