Fortunatus Buyobe
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 463
- 1,127
- Thread starter
-
- #181
This is a million dollars question hapa nauangalia upeo wa mtunzi kwa jicho la tatu. Jamaa anastahili pongezi. Lazima mtunzi awe ni msomi wa fani flani tusiyoijuaUnawaza nini? Dr. Amanda Albro akaniuliza kama mtu anioneaye huruma.
“Najaribu kutafuta sababu zilizomfanya Dr. François Tresor anidanganye,
lakini nijuavyo mimi ni kuwa mtu hawezi kujiongezea dhambi ya uongo kira-
hisi hadi pale uongo wake uonekane kuwa na maslahi fulani kwake, lakini
siwezi kufahamu ni maslahi gani wakati alikuwa na hakika kuwa maisha yake
yalikuwa yamefika ukingoni” nilijikuta nikijisemea mwenyewe.
“Kuwa mwangalifu sana Luteni kwani Jaji Makesa sasa ni kama mzoga
unaokimbiliwa na Tai wengi na kila Tai anavutika kwa harufu yake hivyo un-
afahamu ni nini hutokea pale Tai wanapokuwa wengi kwenye mzoga mmoja”
story tamu kwei kwei yan najiona kama patrick zambi vile!naomba nikuulize the banker,mbona nikisoma hii story nikifika katikati nasinzia?tofaut na story za mjukuu wa chifu kama ya cheni na eddy huwa silali kabsa kabisa!Wasiliana na mtunzi kuimaliza. Kitabu kimeshatoka. Yaani hata leo ukitaka kuimaliza hadithi hii unaweza. Mie natuma humu baada ya kuwa nimepata ridhaa ya mwenye kazi husika.
story tamu kwei kwei yan najiona kama patrick zambi vile!naomba nikuulize the banker,mbona nikisoma hii story nikifika katikati nasinzia?tofaut na story za mjukuu wa chifu kama ya cheni na eddy huwa silali kabsa kabisa!
HahahahaaaaTatizo unapenda ngono sana mm hayo machombezo huwa sisomi yanapelekea kupiga Punyenye.. 😀😀😀😀
Yaani huyu jamaa ningekuwa na uwezo ningemrogaThe banker
HahaaaaYaani huyu jamaa ningekuwa na uwezo ningemroga
Namba za mtunzi zipo mwanzo wa riwaya, mpigie huwa anauza mkuuHuyu jamaa angesema muwa anauza atoe maelezo watu wanunue kuliko hivi
Kaka kuna mtu kakutuma kwenye threads zangu? Naona kwenye kila uzi wangu lazima uje na kiherehere. Unahisi wewe ndio mfatiliaji wa riwaya peke yako au ni wewe tu mwenye arosto? Mbona wengine wastaarabu? Unahisi kazi yangu ni kukufurahisha wewe? Tena kwa vitu vya dezo inabidi uwe mpole. Ungekuwa unalipia hii huduma ingekuwaje? If i wanted to make everyone happy i wouldn't be doing what I am doing but i would sell ice creamUzi ufungwe hauna maana tena..
Kaka kuna mtu kakutuma kwenye threads zangu? Naona kwenye kila uzi wangu lazima uje na kiherehere. Unahisi wewe ndio mfatiliaji wa riwaya peke yako au ni wewe tu mwenye arosto? Mbona wengine wastaarabu? Unahisi kazi yangu ni kukufurahisha wewe? Tena kwa vitu vya dezo inabidi uwe mpole. Ungekuwa unalipia hii huduma ingekuwaje? If i wanted to make everyone happy i wouldn't be doing what I am doing but i would sell ice cream