RIWAYA: Tai kwenye mzoga

Wadau kutokana na mawazo aliyoyatoa mdau mmoja humu kuwa niufunge uzi basi nimeamua kuheshimu mawazo yake. Kwa hiyo hii kazi mtaimalizia kwenye sehemu zilizoelekezwa.
 
Funga mkuu hatuwezi abudu mtu mmoja wa kuabudiwa ni Mungu pekee

We endelea kuweka mkuu but uwe unatoa taarifa
 
aliyekuambia Funga ni mmoja na tunaokwambia endelea ni wengi

shusha vitu
 
Labda uwe muwazi tu kuwa ulishapanga kusitisha tokea zamani. Coz mimi sidhani kama mtu mmoja anaweza kukuamlisha kuwa uache then ukamsikiliza yeye tu bila kuzingatia Maombi ya walio wengi.
 
Labda uwe muwazi tu kuwa ulishapanga kusitisha tokea zamani. Coz mimi sidhani kama mtu mmoja anaweza kukuamlisha kuwa uache then ukamsikiliza yeye tu bila kuzingatia Maombi ya walio wengi.
Maombi yanaweza kuwa ya wengi invisible lakini insults zinaweza kutoka kwa mmoja visibly. Where are you to address someone's wrong?
 
the banker, unachokifanya kipo appreciated na wengi, huyo da vinci ni hater tu, and we all know what to do with haters. Take your time and utakapokuwa na nafasi tupia muendelezo mwengine kiroho safi tu.
 
Hii ishu ya Kutuma zile nyaraka kwa kutumia huduma ya posta tena kwenda Tanzania haijakaa vizuri. Labda kwa kuwa ni riwaya. Lakini kiuhalisia wanajeshi wa Rwanda lazima wange anticipate such a move na wangekaba maeneo yote ambayo Luteni kanali angeweza kupeleka parcel kuituma Tz. Option nzuri ilikuwa jamaa a scan vielelezo vyote na kuvirusha through e mail to Tz na Uholanzi kwenye head quarter ya mahakama ya jinai ya uhalifu wa kivita. Then hatd copy angeiihifadhi sehemu ambayo ingekuwa rahisi kuwa retrived baada ya kumalizana na kina generali.
 
Funga mkuu hatuwezi abudu mtu mmoja wa kuabudiwa ni Mungu pekee
Mkuu, kuwa na staha na busara. Haukuwa nae wakati anaanza ku post hii riwaya na wala haumjui na haujui ratiba zake. Hata akichukua mwezi mzima ku post it's nothing compared na burudani ya hii riwaya aliyoamua kutupa.

Kuna option mbili, ununue kitabu hard copy au uendelee na uvumilivu wa kusubiria lini the banker ata post muendelezo.

Lastly, jizungumzie kwa nafsi yako na usiwe inclusive ukidhani una represent mawazo ya wengi.
 
Yeye kasema funga na mimi nasema usifunge!!asifikiri wote maboya ka yeye!!endeleza makitu chaliiangu,achana na huyo boya
Ni kweli, anayetaka thread ifungwe aji unsubscribe tu na hatoona notification yoyote kwake. Kwanza ni Admin pekee mwenye uwezo wa kuifunga thread.
 
Afunge tu hatumbembelezi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…