Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
[emoji57] [emoji57] [emoji57]Mwanaume hawi mdogo hata siku moja mpenzi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji57] [emoji57] [emoji57]Mwanaume hawi mdogo hata siku moja mpenzi..
Adithi ndiyo nnNaomba nikujulishe sie mimi niliyeleta hadithi ya kisiwa cha Madagascar. Tafuta huo uzi angalia nani ndiye alianzisha hiyo stori na utagundua sio mimi. Pili naomba ujue hata mimi adithi ikikatishwa naumia sana kwa alosto kama mtu yeyote yule. Naomba pia nikujuze hata hii hadithi ninayoileta humu naileta kwa ruhusa za mwandishi mwenyewe. Tatu, nahisi sio vibaya kama mwandishi akijitangaza kwa kukupa baadhi ya script ili uvutiwe ukanunue kitabu. Kuna siku aliwahi kunijibu "kazi yangu sio kufurahisha wasomaji wa bure mitandaoni bali kazi yangu ni kutunga adithi nzuri ili niuze vitabu. Naishi kwa kuuza vitabu" mwisho wa kunukuu. Pia alisema haamini saaana kuuza kwa whatsapp kwani watu wanatabia ya kutumiana na kuna wengine wanachapisha kabisa story ya mtu. Nahisi nimeeleweka. Hata hii story mnapata kwa hisani ya mtunzi kuwa niwapostie.
Wadau kama nilivyoahidi leo naanza kuishusha riwaya ya tai kwenye mzoga mpaka mtunzi atakavyonielekeza tofauti. Mtunzi wa riwaya hii ni yule yule KELVIN e. MPONDA. Wasiliana naye kwa namba 0688058669
VITABU vya TAI KWENYE MZOGA, MIFUPA 206 na UFUKWE WA MADAGASCAR sasa
vinapatikana sehemu zifuatazo hapa nchini.
DAR ES SALAAM
-Posta pembeni ya Mnara wa Askari, nje ya duka la madawa la JB Pharmacy.
-Namba za wakala; 0713454152
; 0755454152
Stendi Kuu ya Mabasi ya mkoani UBUNGO.
-Namba ya Wakala; 0715546000
Duka la Kona ya Riwaya, Kinondoni,
-Namba ya wakala; 0655428085
MOSHI TOWN
-Namba za Wakala; 0754963999
; 0654241700
ARUSHA
Chini ya Mti karibu ya Idara ya Maji
-Namba ya wakala : 0755366822
: 0655366822
Opposite/ Mkabala na Benki ya Stanbic
-Namba ya wakala ; 0715413369
; 0762413369
-Duka la Vitabu la Case Book Store, Naaz
-Duka la Vitabu la Y2K Booshop Ilipo stendi ya mabasi ya Dar Express
IRINGA
-Duka la Vitabu la LUTENGANO
Namba ya muuzaji; 0767361984
-Mnara wa saa kwa wauza magazeti
Namba za mawakala; 0755860480
; 0752518911
:0763500396
MWANZA
-Duka la Vitabu la Victoria Education Centre, Eneo la Kemondo;
-Namba za wakala : 0754057315
-Pembeni ya jengo la NSSF, Mtaa wa Kauma
Namba za wakala ;0755950328
;0685182331
Wakala Tobias Edwin: 0746101949
-Mtaa wa Liberty, pembeni ya jengo la SEMIRA
Namba ya wakala ;0762002992
KWA MAELEZO ZAIDI:
Tembelea Ukurasa wa facebook wa mwandishi; Riwaya za Mwandishi Kevin Mponda.
Namba za simu za mwandishi; 0688058669/0713419558/0753382210.
Umeandika ili tujue kuwa na wewe ni member wa jf?Adithi ndiyo nn
Asante mkuu barikiwaUmeandika ili tujue kuwa na wewe ni member wa jf?
Umeandika ili tujue kuwa na wewe ni member wa jf?
Hamna noma mkuu. Naona wengine wamezaliwa ili kutibua tu mamboMkuu achana nae huyo, shusha mzigo!!!
Hamna noma mkuu. Naona wengine wamezaliwa ili kutibua tu mambo