RIWAYA: Tai kwenye mzoga

RIWAYA: Tai kwenye mzoga

Kitabu lini unatoa
Inaomekana wewe ni kati ya wale wanaoingia na kusoma tu adithi hata huangalii comments za wadau. Ungekuwa unafanya hivi ungekuwa umeshajua kuwa vitabu vingi tu jamaa katoa na katoa maelezo hadi jinsi ya kuvipata
 
“Nani aliyewakataza msiende shule?,nani aliyewazuia msishike nyadhifa za juu serikalini kama mna elimu ya kutosha?, kwa nini msiielimishe kwanza jamii yenu ili ipate hizo nyadhifa za juu mnazozitaka serikalini?. Unaoneka na ni mtu mwenye busara nyingi na mawazo ya maana lakini sivyo ulivyo. Elimu na dini zililetwa na wakoloni sasa kwa nini vitu hivi vitugawe waafrika na kutengeneza chuki isiyo na sababu miongoni mwetu?. Udini au ukabila una athari gani katika mfumo wa maisha yako?, vipi leo ungezaliwa mzungu, mwarabu au mhindi na si mhutu wala mtutsi, ungejihalalisha vipi?, hivi kwa nini sisi waafrika wengi wetu bado ni watumwa wa ki-fikra?, Utakapomuua jirani yako mtutsi wewe mhutu unayejiona upo salama utaishi kwa miaka mingapi hapa duniani?. - Patrcik Zambi
 
Back
Top Bottom