Riwaya ya Kijasusi; Mtoto wa Rais

Riwaya ya Kijasusi; Mtoto wa Rais

Hapo bado sana mkuu ila nikipata muda nitaendeleza alipo ishia kwa nilizo nazo ikiwa mwenye post ataridhia.
Naamini hakutakuwa na shida kama ukimsaidia kupost wakati mwingine shida ni internet bundles
 
Arosto inatuua huku twasubiri muendelezo chifu! Barikiwa sana [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Hawa jamaa wanafanya operation kubwa km hiyo bila kushirikisha ofisi yao ya usalama! Kila siku hawaonekani kazini na bosi hana pressure.
Tuliza munkari jamaa hiyo ni fiction 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom