Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ila ujinga uliofanyika mwaka 2010 mbona hauongelei?Ni kweli mkuu ila hapa kuna la kujifunza hata balon dor aliyokuwepo Neur yeye ndiye alistail sababu aliipa Ujerumani world cup ila akadhulumiwa na Ronaldo
Ikafata ila ya Ribbery nayo yakawa yaleyale wakat alikuwa na msimu mzuri sana na Fifa walipohojiwa walisema hatuangalii timu ila tunaangalia perfomance ya mtu mwenyewe cha ajabu leo ananyimwa mtu sahihi na anapewa mtuwingine na wanatumia kigezo cha timu ambacho kipindi cha Neur na Ribbery walikataa hiyo hoja
Swali ninalojiuliza hivi EURO na UEFA Penado kachukua au kachukuliwa??
Eider na Ramos
HaaaaNi kweli mkuu ila hapa kuna la kujifunza hata balon dor aliyokuwepo Neur yeye ndiye alistail sababu aliipa Ujerumani world cup ila akadhulumiwa na Ronaldo
Ikafata ila ya Ribbery nayo yakawa yaleyale wakat alikuwa na msimu mzuri sana na Fifa walipohojiwa walisema hatuangalii timu ila tunaangalia perfomance ya mtu mwenyewe cha ajabu leo ananyimwa mtu sahihi na anapewa mtuwingine na wanatumia kigezo cha timu ambacho kipindi cha Neur na Ribbery walikataa hiyo hoja
Swali ninalojiuliza hivi EURO na UEFA Penado kachukua au kachukuliwa??
Eider na Ramos
Khaaa!!!Sijui wametumia vigezo gani au kuna kununua wapiga kura nini?
Griezman alistahili hizi tuzo ukiangalia timu kama a madrid hakuna world players lakin Griezman bado alishine.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tena Greezman pamoja na kucheza dakika chache EURO bado alifanya makubwa
Siku zote walioshindwa huwa wana lalamikaView attachment 445563View attachment 445564View attachment 445565View attachment 445566 maoni ya wadau mbalimbali baada ya Cr7 kushinda Tuzo.
Daah! We jamaa 2013, ulikuwa huangalii mpira eeh, Ribery wasnt even close, Ronaldo alikuwa na 70 goals na assists 22 kwenye mashindano yote. Ribery alikuwa na 22 goals na assists 23 , Messi alikuwa na 45 goals assists 16 . Ronaldo alikuwa ana mpita Ribery karibu magoli 50 na alimpita Messi zaid ya magoli 25.Ni kweli mkuu ila hapa kuna la kujifunza hata balon dor aliyokuwepo Neur yeye ndiye alistail sababu aliipa Ujerumani world cup ila akadhulumiwa na Ronaldo
Ikafata ila ya Ribbery nayo yakawa yaleyale wakat alikuwa na msimu mzuri sana na Fifa walipohojiwa walisema hatuangalii timu ila tunaangalia perfomance ya mtu mwenyewe cha ajabu leo ananyimwa mtu sahihi na anapewa mtuwingine na wanatumia kigezo cha timu ambacho kipindi cha Neur na Ribbery walikataa hiyo hoja
Swali ninalojiuliza hivi EURO na UEFA Penado kachukua au kachukuliwa??
Eider na Ramos
Hizi tuzo siyo za motisha mkuu, hizi tuzo siku Ronaldo ana nyanyua kombe na Ureno ilibidi muwe msha anza kujiandaaa kosaikolojia kuwa lazima achukie Balon d orC Ronaldo kabebwa na matokeo ya timu anazochezea Ureno Bingwa kombe la Mataifa Ulaya.
R Madrid bingwa Vilabu Ulaya ila yeye kama yeye hakua na msimu mzuri sana.
Ukiangalia Messi Barca&Argentina hawakua na Matokeo mazuri pia.
Griezman alistahili kupewa ingempa motisha zaid kufanya vizuri na pia France Fainali kombe la mataifa Ulaya.
A Madrid Fainali kombe la Vilabu Ulaya.
Ila wapiga kura Ndo wameamua
Au yule mkali wa kuchakachua kwani kule yuko???
Griez hakuw na ujanja mbele ya ronaldo...akukarbia kbs form aliyokuw nay cr7 kwa takwim zot labd kwa magoli ya EURO tu.C Ronaldo kabebwa na matokeo ya timu anazochezea Ureno Bingwa kombe la Mataifa Ulaya.
R Madrid bingwa Vilabu Ulaya ila yeye kama yeye hakua na msimu mzuri sana.
Ukiangalia Messi Barca&Argentina hawakua na Matokeo mazuri pia.
Griezman alistahili kupewa ingempa motisha zaid kufanya vizuri na pia France Fainali kombe la mataifa Ulaya.
A Madrid Fainali kombe la Vilabu Ulaya.
Ila wapiga kura Ndo wameamua
Au yule mkali wa kuchakachua kwani kule yuko???
Utampima vip mchezaji kwa mechi 7 pekee et kisa kacheza vizur world cupila ujinga uliofanyika mwaka 2010 mbona hauongelei?
Unaacha kujiuliza kuhusu Mmorocco unajiuliza kuhusu MahrezHivi Mahrez amechezaje vizuri kuliko auba!! Mwee!!
Lakin its okey
Messi huwa hashindani ila wao ndio wanashindana nae[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Missi vipi, hakustahili!??
Watu hawakumbuki, Ronaldo kapigana sana kuhakikisha Real Madrid inafika final. Refer mechi ya Wolfsburgmkuu Acha unaz. ..Cr7 kaibeba Madrid pia kaibeba ureno alikua kwny fom ya hali ya juu na amestahili tuzo hyoo
Daah! We jamaa 2013, ulikuwa huangalii mpira eeh, Ribery wasnt even close, Ronaldo alikuwa na 70 goals na assists 22 kwenye mashindano yote. Ribery alikuwa na 22 goals na assists 23 , Messi alikuwa na 45 goals assists 16 . Ronaldo alikuwa ana mpita Ribery karibu magoli 50 na alimpita Messi zaid ya magoli 25.
Hapo hata mjadala ulikuwa haupo, sasa ulitaka umpe Ribery kwa lipi!!?
Dont be sore loser bro!!, bado mwezo wa kwanza kwenye tuzo ya FIFA utachoka zaidi.
Ila uzuri tunakubaliana kuwa Messi hata hakustahili kuwepo popote katika hiyo 3 bora
Hizi tuzo siyo za motisha mkuu, hizi tuzo siku Ronaldo ana nyanyua kombe na Ureno ilibidi muwe msha anza kujiandaaa kosaikolojia kuwa lazima achukie Balon d or
Haya data za Griezman hizo
Antoine Griezmann: 69 appearances, 41 goals, & 14 assists.
Cristiano Ronaldo: 60 appearances, 61 goals, 22 assists.
Kwa hiyo hapo unaona Griezman alistahili kabisaa!?
Get over with it, at least kidoogo Suarez ningeweza kumtetea, pia hujalaani kitendo cha Messi kuwa namba 2, that was absurd.
Cc PNC 1
Kwako akipata messi kastahili akipata ronaldo zambi let a spade be a spade hata ya FIFA atachukua tena na kama kawaida utalalamika unaendeshwa na hisiaKwa Mahrez haki imetendeka ila huko kwingine ni upuuzi mtupu
Afadhali ya ronaldo kachukua uefa na euro wakati messi anatangazwa mchezaji bora mbele ya snedjer aliye chukua series A,Italian Cup,UCL,club bingwa dunia na akacheza final world cup kila mtu alishangaa labda PNC peke yake mwisho tuliwaheshimu wapiga kura maisha yakaenda sio kila unachotaka kinakuwaNi kweli mkuu ila hapa kuna la kujifunza hata balon dor aliyokuwepo Neur yeye ndiye alistail sababu aliipa Ujerumani world cup ila akadhulumiwa na Ronaldo