Riyadh Mahrez mchezaji Bora wa Afrika 2016

Riyadh Mahrez mchezaji Bora wa Afrika 2016

Afadhali ya ronaldo kachukua uefa na euro wakati messi anatangazwa mchezaji bora mbele ya snedjer aliye chukua series A,Italian Cup,UCL,club bingwa dunia na akacheza final world cup kila mtu alishangaa labda PNC peke yake mwisho tuliwaheshimu wapiga kura maisha yakaenda sio kila unachotaka kinakuwa
Kwa kauli yako hii umekiri kuwa Penado mbeleko ndio zimemuweka pale
 
Ribbery alistail sana na hata hayo magoli yake na position yake ilikuwa ni kitu cha ajabu lakini alinyimwa
Kuhusu Messi bila kupepesa ni kafanyiwa hujuma ya wazi sababu yeye ndiye mchezaji mwenye vigezo vizur kuliko hao

Na kama ulikuwa hutambui list ilitakiwa iwe MSN
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Kigezo cha Ribery kustahili ni kipi, maana Ronaldo naye alikuwa hachezi kama mfungaji wa moja kwa moja, nakubali kuwa Ribery alichukua UCL, bundesliga na german Cup, ila ilikuwa hata kumpata mchezaji bora wa Bayern Munich ni kazi kwa kuwa almost wote walikuwa sawa na data zake zilikuwa hata hazimfanyi awe special kwa chochote.
Basi diego Costa ilibidi naye 2914 awe mchezaji bora au ilibidi kina andy cole 99 wawe wachezaj bora
 
Messi huwa hashindani ila wao ndio wanashindana nae

Messi ana kila tuzo sasa hiko kituzo cha ushilawadu hana time nacho
Kwa Messi alicho mpita Ronaldo ni nn? Si tuzo moja tu ya Ballon D or alicho nacho Messi, Ronaldo anacho.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Kigezo cha Ribery kustahili ni kipi, maana Ronaldo naye alikuwa hachezi kama mfungaji wa moja kwa moja, nakubali kuwa Ribery alichukua UCL, bundesliga na german Cup, ila ilikuwa hata kumpata mchezaji bora wa Bayern Munich ni kazi kwa kuwa almost wote walikuwa sawa na data zake zilikuwa hata hazimfanyi awe special kwa chochote.
Basi diego Costa ilibidi naye 2914 awe mchezaji bora au ilibidi kina andy cole 99 wawe wachezaj bora
[emoji2] [emoji2] [emoji2] yani Penado hachez kama mfungaji wa mojakwamoja wakati mda wote anashinda kwenye box la penat

Punguza mahaba
 
Mbona umeweka data za wawil za Messi ziko wapi au hata moyo wako unakuumbua

Kiukwel kams soka lingekuwa ni haki hii tuzo ni ya Messi bila kipingamizi
Na Penado na Greezman hawakustaili kuwa Top3

MSN walistail ila kwa kuwa tabia za kimorocco zimejaa hapo fifa ni lazma wambebe GASHO mwenzao
Sasa hakuna aliye mtetea Messi kama ana stahili, we mwenyewe unajua hilo. Hata 3 bora watu wanajiuliza amefikaje.
Yaan hakuwa mchezaji bora wa Barcelona sasa aweje wa pili kwenye ballon d or!!!
Sina hata haja ya kumleta hapa huyo
 
Kwa Messi alicho mpita Ronaldo ni nn? Si tuzo moja tu ya Ballon D or alicho nacho Messi, Ronaldo anacho.
Ni kweli kabisa alichonacho Messi na Mmorocco anacho
Hata tuzo ya Uchezaji bora wa kombe la dunia mbona Penado anayo[emoji4]
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] yani Penado hachez kama mfungaji wa mojakwamoja wakati mda wote anashinda kwenye box la penat

Punguza mahaba
Leta data
Dakika ngapi ame spend kwenye box?
Au washambuliaj wa Real Madrid huwajui, wenzio waliopiga kura hawanaga ishu za kimbeya mbeya kuzusha tuu mambo.
Tunaweka data, tuna linganisha na mafanikio ya data zako, then unapewa tuzo.
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mkuu Iceman mbona umepanic

Tatzo lenu washabiki wa moroko huwa mnaukataa ukweli

Ila ucpanic mkuu kama unapanic panic kwa fact [emoji1]
 
Kwa maoni Yangu japo Cr7 kasaidia kote ila Griezman alikua na msimu mzuri zaid kuliko wote wawili Messi&Cr7.
Sema wapiga kura wameamua ila imekua kama Tuzo ya watu wawili tuu.
Nafikiri hawa jamaa umaarufu ndo unawapa tuzo na sio Ubora uwanjani tena.

Ref France vs Portugal Cr7 anapata injury Eder ndo anaamua matokeo.
Tuzo hii sio kwa ajiri ya kumtia moyo mtu mkuu!
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mkuu Iceman mbona umepanic

Tatzo lenu washabiki wa moroko huwa mnaukataa ukweli

Ila ucpanic mkuu kama unapanic panic kwa fact [emoji1]
Mbona natoa fact, ila naona wewe unatoa maelezo tuu tena sio maelezo ni malalamiko

Yaani toka CR 7 amechukua EURO ilitakiwa ujue hizi tuzo atapata tuuu. Hukujiandaa kisaikolojia
 
Ni kweli kabisa alichonacho Messi na Mmorocco anacho
Hata tuzo ya Uchezaji bora wa kombe la dunia mbona Penado anayo[emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uko sahihi
 
Kwa Mahrez haki imetendeka ila huko kwingine ni upuuzi mtupu
acha wivu............mwambie huyo messi ajitahidi na yeye asiache chenga Barcelona tu azipeleke mpaka Argentina wapate nao ubingwa.
 
Hivi Mahrez amechezaje vizuri kuliko auba!! Mwee!!
Lakin its okey

Mahrez kapigania kweli kweli mwisho wa siku kabeba ndoo kwa juhudi zake binafsi ama sivyo?

Na Ronaldo kaingia kucheza dakika ngapi? Sema labda wanaangalia vikombe tu na si performance ya mchezaji, kama ni perfomence basi messi kila kitu angekua ananyakua ballon yeye,fifa awards yeye n.k...messi plays an inspirational game for team and then for himself,Messi can cross the ball from your bones without breaking...

Mwaga data za messi hapa,
Messi hakuwa mchezaji bora wa klabu, sembuse awe wa dunia!!
Khaaa!!

Mahrez hamgusi hata kidogo auba, lakin provided kuwa mahrez kazi yake ilizaa EPL cup nimekubali.
 
Mwaga data za messi hapa,
Messi hakuwa mchezaji bora wa klabu, sembuse awe wa dunia!!
Khaaa!!

Mahrez hamgusi hata kidogo auba, lakin provided kuwa mahrez kazi yake ilizaa EPL cup nimekubali.

Iceman naona sasa unaongea kishabiki na si kisoka😀

Hamgusi kivipi? Auba kaipatia nini tim yake?Mahrez sio wa sport sport, amestahili hiyo tuzo, na ataendelea kuwaburuza hao wanyoa viduku umri bado unaruhusu...

Kuhusu messi unaongea without facts...hebu fuatilia hapa kidogo,

Honours and achievements
Barcelona
International
Individual
Awards
Performances
Records
As of 10 November 2016
 
Back
Top Bottom