PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,106
- 14,353
Kwa kauli yako hii umekiri kuwa Penado mbeleko ndio zimemuweka paleAfadhali ya ronaldo kachukua uefa na euro wakati messi anatangazwa mchezaji bora mbele ya snedjer aliye chukua series A,Italian Cup,UCL,club bingwa dunia na akacheza final world cup kila mtu alishangaa labda PNC peke yake mwisho tuliwaheshimu wapiga kura maisha yakaenda sio kila unachotaka kinakuwa