Riyadh Mahrez mchezaji Bora wa Afrika 2016

ila ujinga uliofanyika mwaka 2010 mbona hauongelei?
 
Haaaa
Cry me a river

He won
 
Reactions: PNC
Hivi Mahrez amechezaje vizuri kuliko auba!! Mwee!!
Lakin its okey
 
Reactions: PNC
Sijui wametumia vigezo gani au kuna kununua wapiga kura nini?

Griezman alistahili hizi tuzo ukiangalia timu kama a madrid hakuna world players lakin Griezman bado alishine.
Khaaa!!!

Bosi hivi una statistics za Griezman na za Ronaldo tulinganishe hapa. Mi nikajua hata uta mtetea Suarez, Groezman hakustahili.
 
Daah! We jamaa 2013, ulikuwa huangalii mpira eeh, Ribery wasnt even close, Ronaldo alikuwa na 70 goals na assists 22 kwenye mashindano yote. Ribery alikuwa na 22 goals na assists 23 , Messi alikuwa na 45 goals assists 16 . Ronaldo alikuwa ana mpita Ribery karibu magoli 50 na alimpita Messi zaid ya magoli 25.
Hapo hata mjadala ulikuwa haupo, sasa ulitaka umpe Ribery kwa lipi!!?

Dont be sore loser bro!!, bado mwezo wa kwanza kwenye tuzo ya FIFA utachoka zaidi.
Ila uzuri tunakubaliana kuwa Messi hata hakustahili kuwepo popote katika hiyo 3 bora
 
Hizi tuzo siyo za motisha mkuu, hizi tuzo siku Ronaldo ana nyanyua kombe na Ureno ilibidi muwe msha anza kujiandaaa kosaikolojia kuwa lazima achukie Balon d or

Haya data za Griezman hizo

Antoine Griezmann: 69 appearances, 41 goals, & 14 assists.
Cristiano Ronaldo: 60 appearances, 61 goals, 22 assists.

Kwa hiyo hapo unaona Griezman alistahili kabisaa!?

Get over with it, at least kidoogo Suarez ningeweza kumtetea, pia hujalaani kitendo cha Messi kuwa namba 2, that was absurd.

Cc PNC 1
 
Reactions: PNC
Griez hakuw na ujanja mbele ya ronaldo...akukarbia kbs form aliyokuw nay cr7 kwa takwim zot labd kwa magoli ya EURO tu.
Lkn nljua utalalamik pia messi kuw namba mbili nyuma ya ronaldo na mbele ya griez
 
mkuu Acha unaz. ..Cr7 kaibeba Madrid pia kaibeba ureno alikua kwny fom ya hali ya juu na amestahili tuzo hyoo
Watu hawakumbuki, Ronaldo kapigana sana kuhakikisha Real Madrid inafika final. Refer mechi ya Wolfsburg
 

Ribbery alistail sana na hata hayo magoli yake na position yake ilikuwa ni kitu cha ajabu lakini alinyimwa
Kuhusu Messi bila kupepesa ni kafanyiwa hujuma ya wazi sababu yeye ndiye mchezaji mwenye vigezo vizur kuliko hao

Na kama ulikuwa hutambui list ilitakiwa iwe MSN
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] PNC 1 mahaba yako kwa Messi yatakuua.
Sio kwa povu hili
Mimi sina mahaba ila huwa naongea ukwel mtupu

Ila usimlilie Messi bali jililieni na Arsenal yenu (Bayern hao)
 

Mbona umeweka data za wawil za Messi ziko wapi au hata moyo wako unakuumbua

Kiukwel kams soka lingekuwa ni haki hii tuzo ni ya Messi bila kipingamizi
Na Penado na Greezman hawakustaili kuwa Top3

MSN walistail ila kwa kuwa tabia za kimorocco zimejaa hapo fifa ni lazma wambebe GASHO mwenzao
 
Kwa Mahrez haki imetendeka ila huko kwingine ni upuuzi mtupu
Kwako akipata messi kastahili akipata ronaldo zambi let a spade be a spade hata ya FIFA atachukua tena na kama kawaida utalalamika unaendeshwa na hisia
 
Afadhali ya ronaldo kachukua uefa na euro wakati messi anatangazwa mchezaji bora mbele ya snedjer aliye chukua series A,Italian Cup,UCL,club bingwa dunia na akacheza final world cup kila mtu alishangaa labda PNC peke yake mwisho tuliwaheshimu wapiga kura maisha yakaenda sio kila unachotaka kinakuwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…