Riyama aangua kilio "walioandaa tuzo waniombe ardhi"

Riyama aangua kilio "walioandaa tuzo waniombe ardhi"

Decree Holder

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2015
Posts
2,559
Reaction score
3,745
Msanii wa bongo muvi riyama amefunguka kuhusiana na tuzo za sinema zetu na kusema waandaaji wamemkosea sana kumshindanisha bila kushirikishwa wala kuarifiwa.

Riyama Ally ameyasema hayo akihojiwa na kipindi cha xxl cha clouds na kusema kuwa yeye hajashindwa tuzo zozote kwa sababu hakushindana kwenye tuzo husika kama inavyosemekana huko mitaani.

Riyama amesema kama hawatamuomba radhi wasijekumshirikisha kwenye tuzo zozote zile hata akifa wasijekumpa tuzo za heshima.
 
I saw that and I was so confused like what tf is she talking about,is she the goddess of bongo movie industry? if she wasn't acting or paid she real need to seek a doc or something,she deserve an award ofcoz BT that was embarassin
 
Huyu Riyama alijaribu kuongea na Director au Producer kuuliza jina lake lilifikaje fikaje hapo?!

Aliyeifikisha filamu husika pale Azam ndie alitakiwa kumweleza Riyama kuhusu hiyo nomination!!
 
Kuchambana muda wote kama upo kwenye kigodoro ndo anajiona anajua sana au kisa anamiliki Ben10 aache kusumbua watu aendelee kutafuta misemo ya michambo
Kuchambana kwenye maisha yake halisi au kwenye filamu?!
 
Namheshimu sana, ila anavyolalamika hivyo anazidi kujipunguzia heshima kwenye jamii.
 
Huyu bibi kawaje?
Afadhali yeye ni bibi lakini wewe ni screpa.
Mama yako ndio bibi, Ryama bado ni mtoto mdogo sana mwili mkubwa sio ubibi asee.
Lemutuz ni mbabu haujamsema anavojiweka kama kijana, leo uje umseme Ryama eti ni Bibi?
 
Huyu nae anakeraa sasa hiyo michozi ndio tukuone unauchungu,we ukilia akina bi nyangomba,bi hindu ,mzee pwagu,mzee jongo nao wafanyeje.Yaani kama mpuuzi tuzo moja hamuwezi kushinda wote hata kama uwe umeambiwa au hujambiwa
 
Afadhali yeye ni bibi lakini wewe ni screpa.
Mama yako ndio bibi, Ryama bado ni mtoto mdogo sana mwili mkubwa sio ubibi asee.
Lemutuz ni mbabu haujamsema anavojiweka kama kijana, leo uje umseme Ryama eti ni Bibi?
Povu la nini kibenten cha Riyama?
 
wachache sana watamuelewa huyu dada. Riyama kapanic yeye kushindanishwa na mtoto mdogo kama wema sepetu alafu ashinde tuzo nyingi zaid yake
 
Hukupewa Mzee Majuto ambae ni Mfalme wa tasnia ya maigizo nchi Kwa miaka mingi sembuse Wewe bi dada?
Kama kuombwa radhi basi waanze na Mzee Majuto!
Huyu Mzee amepewa kipaji na Mungu cha pekee!
Wala hatumii nguvu nyingi wala maneno mengi ktk kufikisha ujumbe na burudani Kwa jamii Kwa njia ya maigizo!
Mungu akufanyie wepesi upone Haraka Mzee Majuto na akuzidishie umri mkubwa wenye uzima na afya njema !
 
Back
Top Bottom