Decree Holder
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 2,559
- 3,745
Msanii wa bongo muvi riyama amefunguka kuhusiana na tuzo za sinema zetu na kusema waandaaji wamemkosea sana kumshindanisha bila kushirikishwa wala kuarifiwa.
Riyama Ally ameyasema hayo akihojiwa na kipindi cha xxl cha clouds na kusema kuwa yeye hajashindwa tuzo zozote kwa sababu hakushindana kwenye tuzo husika kama inavyosemekana huko mitaani.
Riyama amesema kama hawatamuomba radhi wasijekumshirikisha kwenye tuzo zozote zile hata akifa wasijekumpa tuzo za heshima.