Decree Holder
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 2,559
- 3,745
Kuchambana kwenye maisha yake halisi au kwenye filamu?!Kuchambana muda wote kama upo kwenye kigodoro ndo anajiona anajua sana au kisa anamiliki Ben10 aache kusumbua watu aendelee kutafuta misemo ya michambo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]eti wasimpe hata tuzo ya heshia akifa? wtf,tuzo ya heshima imekua makalio kuwa kila mtu anayo au.
Afadhali yeye ni bibi lakini wewe ni screpa.Huyu bibi kawaje?
Povu la nini kibenten cha Riyama?Afadhali yeye ni bibi lakini wewe ni screpa.
Mama yako ndio bibi, Ryama bado ni mtoto mdogo sana mwili mkubwa sio ubibi asee.
Lemutuz ni mbabu haujamsema anavojiweka kama kijana, leo uje umseme Ryama eti ni Bibi?