ANAESTHESIOLOGIST
Senior Member
- Dec 29, 2019
- 162
- 273
Umeona Baraza la mawaziri leo..Walio kuwa chadema wanang'aa wewe na kufia chama kwako hata ukuu wa wilaya huna.Subiri MBOWE atengeneze viongoziChadema kuna viongozi ?au wapiga dili? Ahaa ona walivyowauza covid19π π
π€£π€£π€£π€£Kabila hili lipo wapi?
π²π€£Umeona Baraza la mawaziri leo..Walio kuwa chadema wanang'aa wewe na kufia chama kwako hata ukuu wa wilaya huna.Subiri MBOWE atengeneze viongozi
Mchango wa maana kama huu, Erythrocyte haezi ugusa. Atafanya quoting kwenye michango miepesi miepesi tu yenyekutimiza hamu yakeHuyu mama alishawahi kuwa mbunge viti maalum CUF baadaye akahamia CCM na mwaka huu alipigwa chini kwenye kura za maoni CCM jimbo la Mchinga alikuwa akichuana na mama Salma Kikwete. Huyu mama kwenye jimbo la Mchinga kafanya mengi sana na anakubalika sana bila mama Salma kufanya figisu kwenye kura za maoni basi huyu mama angepita, ni mlemavu lakini ni mtu mwenye kujitolea sana nadhani Magufuli ana taarifa za huyu mama
Mama Salma hana hamu na huyu mama[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23] . Ila Magu hajamjua leo huyu mama, walishawahi ishi apartment moja wakati Magu akiwa mbunge kipindi hichoo so sio bahati mbaya alipofikia
Wabongo bhana! Teuzi zitawatoa roho, chadema kelele nyingi kumbe mnafukuzia teuzi, au ndio mliomminya ndulane ashindwe kuapa mpate teuziπ π.Umeona Baraza la mawaziri leo..Walio kuwa chadema wanang'aa wewe na kufia chama kwako hata ukuu wa wilaya huna.Subiri MBOWE atengeneze viongozi
Uongo!!Huyu mama alishawahi kuwa mbunge viti maalum CUF baadaye akahamia CCM na mwaka huu alipigwa chini kwenye kura za maoni CCM jimbo la Mchinga alikuwa akichuana na mama Salma Kikwete. Huyu mama kwenye jimbo la Mchinga kafanya mengi sana na anakubalika sana bila mama Salma kufanya figisu kwenye kura za maoni basi huyu mama angepita, ni mlemavu lakini ni mtu mwenye kujitolea sana nadhani Magufuli ana taarifa za huyu mama
Mama Salma hana hamu na huyu mamaπππππ . Ila Magu hajamjua leo huyu mama, walishawahi ishi apartment moja wakati Magu akiwa mbunge kipindi hichoo so sio bahati mbaya alipofikia
ukweli ni upi ?Uongo!!
Nimemfahamu huyu mama na yeye ananifahamu sana,ana uhusiano mkubwa na JK ,si mlemavu ila anaumwa miguu,JK kumfanyia figisu huyu mama haiwezekani, sehemu kubwa ya yaliyoongelewa kumhusu ni uongo,nimekaa nae tangu 1990ukweli ni upi ?
JK alimfanyia figisu Lowassa aliyekutana naye kitambo ndio awe kuwa huyu ? sina hakika na hizo figisu wala ya ccm hayanihusu sana lakini la lowassa unalikumbuka ?Nimemfahamu huyu mama na yeye ananifahamu sana,ana uhusiano mkubwa na JK ,si mlemavu ila anaumwa miguu,JK kumfanyia figisu huyu mama haiwezekani, sehemu kubwa ya yaliyoongelewa kumhusu ni uongo,nimekaa nae tangu 1990
Mmmmh boss nisiongee sana anyway kwa kifupi namjua kushinda unavyomjua wewe kuanzia kura za maoni ccm hadi kampeni zao nimeshiriki japo mimi sina chama.chama changu ni amani na upendo over..Nimemfahamu huyu mama na yeye ananifahamu sana,ana uhusiano mkubwa na JK ,si mlemavu ila anaumwa miguu,JK kumfanyia figisu huyu mama haiwezekani, sehemu kubwa ya yaliyoongelewa kumhusu ni uongo,nimekaa nae tangu 1990
Aka lorida mama ya nchinga.kila la kheri kwakeHuyu Mheshimiwa Mbunge muda huu ameibua hoja ya Serikali kula hasara kwa kuagiza magari kupitia TOYOTA... Nimemsikiliza ni mbunge mama mmoja makini sana ameishauri vizuri sana Serikali kuhusu ununuzi wa magari...kumbe Toyota Tanzania anafyonza sana mapato yetu isivyo haki!!!...hongera Lulinda
hawa toyota tanzania kama alichosema kina ukweli basi ni makabaila moja matata sana hao jamaa anasema wanapiga cha juu kirefu sana kenya uganda na kwingine serikali zao zinaagiza magari kiwandani moja kwa moja anashauri na sisi serekali iagize malandikruza kiwandani moja kwa moja maana hawa wanajinufaisha sana kwa kupiga parefuAka lorida mama ya nchinga.kila la kheri kwake