Riziki Said Lulinda aliyeteuliwa na Rais Magufuli kuwa Mbunge ni nani hasa?

Riziki Said Lulinda aliyeteuliwa na Rais Magufuli kuwa Mbunge ni nani hasa?

Hujawahi kusikia Lissu anasemaje juu ya Nyerere? faiza Fox wa JF je?

Hujawahi kusikia kuwa barabara murefu haikosi kona? Au mwanamke mzuri hakosi kasoro? Au kwani Nyerere (rip) alikuwa malaika?

Hujawahi kumsikia Lissu anasema je kuhusu mkoloni mweusi? Au wasio na mazuri toka kwa mkoloni mweusi?

Jitoeni ufahamu ila mjue tupo wengi tu, na hatudanganyiki!
 
View attachment 1637439

Wengi tunajadili sana uteuzi wa Polepole kuwa mbunge, ambaye anafahamika zaidi kutokana na nafasi yake ndani ya CCM , lakini kuna mwingine aliyeteuliwa kuwa mbunge sambamba na Polepole , anaitwa Riziki Lulinda .

Taarifa zinaonesha kwamba Mama huyu aliwahi kuwa mbunge wa CUF kabla ya kuhamia CCM, sasa swali langu ni hili, huyu mama ni nani hasa mpaka ateuliwe yeye huku wafia chama waliopiga push up majukwaani sambamba na Mwenyekiti wao watelekezwe ?

Ana umuhimu gani huyu mtu kiasi cha kuchukua nafasi katika hizo chache zisizozidi 10?

Mwenye majibu atusaidie.
Na wapiga magoti majukwaani wameachwa wanatoa macho kina Pascal Njaa na mada zake uchwara kutwa kucha lakini uteuzi hakuna .
 
Alikua ccm wakat magu anaingia madarakan 2015 akafanyiwa figisu na kina nape ndo akahamia cuf akapewa kiti cha upendeleo na maalim mwenyewe..sasa tena amepewa kiti cha upendeleo na magu...mama ana bahat zake huyu japo ni mtu wa dini sana analisha yatima sana anajenga sana misikiti lakn pia anaijua fitna vizur sana
Mama salma hana hamu na huyu mama[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23] .ila magu hajamjua leo huyu mama walishawahi ishi apartment moja wakati magu akiwa mbunge kipindi hichoo so sio bahati mbaya alipofikia
 
Sio CCM Miaka yote, Sema Under cover ( Afisa Kificho) wa Miaka yote

Wengi (sio wote) hawajui tofauti ya kificho na kipenyo
Huyo mama ni CCM miaka yote kule Cuf alienda baada ya kufanyiwa figisu kwenye kura za maoni kama ilivyokuwa kwa Cecil Mwambe!
 
JPM ni nabii aliyetumwa na Mungu....nabii hakubaliki kwao ila kuna siku tutamkumbuka JPM
Na babako naye ni nani??? Yule aliyepga goti hadi ukazaliwa . Lana ya mungu ikushukie means wa haramu wewe. Unamuitaje mtu MALAIKA? Shetani wahda
 
Na babako naye ni nani??? Yule aliyepga goti hadi ukazaliwa . Lana ya mungu ikushukie means wa haramu wewe. Unamuitaje mtu MALAIKA? Shetani wahda
Siku ukitulia, jifanyie tathmini utakuta adui yako mkubwa ni wewe na mawazo yako!
 
Hata watenda maovu hukumbukwa boss.
Rejea unyama Wa Hitler. Anakumbukwa had I kesho.
Nikufundishe kanuni moja kubwa ya maisha: Kika kitu hapa duniani kina upande zaidi ya mmoja, Ujinga ni pale unapochagua kuangalia upande mmoja na tena kwa kufundishwa nawe kama zuzu ukadhani umeelewa Kika kitu!
Ujinga wetu kwa miaka minge umekuw mtaji kwa wengine. JPM katufumbua macho!
 
Nikufundishe kanuni moja kubwa ya maisha: Kika kitu hapa duniani kina upande zaidi ya mmoja, Ujinga ni pale unapochagua kuangalia upande mmoja na tena kwa kufundishwa nawe kama zuzu ukadhani umeelewa Kika kitu!
Ujinga wetu kwa miaka minge umekuw mtaji kwa wengine. JPM katufumbua macho!
Umekua zuzu wa kiwango Cha lami,Yani katufumbua macho sisi??au umetumwa????
 
Kama alikuwa CUF then akahamia CCM na sasa kapewa Ubunge jimbo la Ikulu, huyu bila shaka ni Afisa Kipenyo

If it quacks and walks like a duck, then it is a duck
Ni discretion ya rais, ila ninaamaini kuwa wana CCM walioleta upinzani mzito kwenye kura za maoni huenda watafikiriwa kwenye hizi nafasi.
 
Back
Top Bottom