guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,814
- 2,762
Hongera kwake
Huyu mama alikuwa CCM, akakatwa jina basi akaona isiwe taabu akahamia CUF. Alipoona kuwa hawezi kurudi tena kupitia CUF akaona tena isiwe taabu akarudi CCM. Na ili apalilie zaidi safari yake ya kurudi akamsifia Mheshimiwa Rais halafu akawabeza CHADEMA kwa kusema hawana uungwana na bora wamefukuzwa maana Bunge limetulia, hamna fujo tena. Sasa kafanya nini kwa wananchi wake akiwa mbunge, hilo sijui.View attachment 1637439
Wengi tunajadili sana uteuzi wa Polepole kuwa mbunge, ambaye anafahamika zaidi kutokana na nafasi yake ndani ya CCM , lakini kuna mwingine aliyeteuliwa kuwa mbunge sambamba na Polepole , anaitwa Riziki Lulinda .
Taarifa zinaonesha kwamba Mama huyu aliwahi kuwa mbunge wa CUF kabla ya kuhamia CCM, sasa swali langu ni hili, huyu mama ni nani hasa mpaka ateuliwe yeye huku wafia chama waliopiga push up majukwaani sambamba na Mwenyekiti wao watelekezwe ?
Ana umuhimu gani huyu mtu kiasi cha kuchukua nafasi katika hizo chache zisizozidi 10?
Mwenye majibu atusaidie.
View attachment 1637439

Na mimi huu uzi umenisaidia kufahamu kuwa huyu ni Mwanamke.. miaka yote huwa nafahamu ni mwanamme..Kumbe Erythrocyte ni mama? Oh sikujua, naomba kama ni kweli anisamehe
Bora nikukumbuke wewe pamoja na itopolo wako lakini siyo Jiwe.JPM ni nabii aliyetumwa na Mungu....nabii hakubaliki kwao ila kuna siku tutamkumbuka JPM
Mbona Lipumba na Pascal Mayalla wamesahaulika?Biashara ya utumwa inaendelea
Hata watenda maovu hukumbukwa boss.JPM ni nabii aliyetumwa na Mungu....nabii hakubaliki kwao ila kuna siku tutamkumbuka JPM
Nilikuwa namburuza nami ni mwiko kuburuza wanaoufanya usingizi wa wanaume uwe wa AmaniKwanini unasema akusamehe mkuu
Hahahah! Sawa mkuuNilikuwa namburuza nami ni mwiko kuburuza wanaoufanya usingizi wa wanaume uwe wa Amani
Tufanye maombi ya siku tatu kama yaliyoipeperusha COVID19 original badala yake ikaja COVID19 ya warembo ili watani zangu wa jadi Prof Lipumba na Pascal Mayala wapate uteuzi wa viti maalumu!!!!Mbona Lipumba na Pascal Mayalla wamesahaulika?
We unataka awe nani? Si umeambiwa anaitwa Riziki Lulinda, acha umbea.View attachment 1637439
Wengi tunajadili sana uteuzi wa Polepole kuwa mbunge, ambaye anafahamika zaidi kutokana na nafasi yake ndani ya CCM , lakini kuna mwingine aliyeteuliwa kuwa mbunge sambamba na Polepole , anaitwa Riziki Lulinda .
Taarifa zinaonesha kwamba Mama huyu aliwahi kuwa mbunge wa CUF kabla ya kuhamia CCM, sasa swali langu ni hili, huyu mama ni nani hasa mpaka ateuliwe yeye huku wafia chama waliopiga push up majukwaani sambamba na Mwenyekiti wao watelekezwe ?
Ana umuhimu gani huyu mtu kiasi cha kuchukua nafasi katika hizo chache zisizozidi 10?
Mwenye majibu atusaidie.
Au labda ni mkakati wa kudondosha vipande vya mkate kwenye kambi yenye njaa ili mvurugane.Sure CCM haina viongozi kabisa. Huwa na waambia watu ukitaka kujulikana na kuja kuwa kiongozi na kula maisha serikali ya Tanzania baasi jiunge kwanza na upinzani ili uwezo wako ujulikani.Vijana wa UVCCM ni nyumbu tu.
Anayefuata ni JOSHUA NASARI na LUJUALIKALI
Mawazo kama haya yanaonyesha kamanda umeishiwa hoja, ila inabidi uanzishe post kama hizi ili kuremain relevant. Too bad!sasa swali langu ni hili, huyu mama ni nani hasa mpaka ateuliwe yeye huku wafia chama waliopiga push up majukwaani sambamba na Mwenyekiti wao
Alikua ccm wakat magu anaingia madarakan 2015 akafanyiwa figisu na kina nape ndo akahamia cuf akapewa kiti cha upendeleo na maalim mwenyewe..sasa tena amepewa kiti cha upendeleo na magu...mama ana bahat zake huyu japo ni mtu wa dini sana analisha yatima sana anajenga sana misikiti lakn pia anaijua fitna vizur sanaHuyu ni mchezaji wa kuazima kutoka CUF siunajua tena CCM kuna uhaba wa viongozi.
Usione kujibaraguza humu, naye ni mmoja kati ya hao 19. We know her more than she knows herself.Kumbe Erythrocyte ni mama? Oh sikujua, naomba kama ni kweli anisamehe
Kama alikuwa CUF then akahamia CCM na sasa kapewa Ubunge jimbo la Ikulu, huyu bila shaka ni Afisa Kipenyo
If it quacks and walks like a duck, then it is a duck
"Walikuwaga wanaenda kufuturu pamoja"
Umenena kweli CHADEMA wakiona wakinamama wamechaguliwa ubunge wanawashwa sana .Kwanini Wanawake hampendani hivyo asiee. Yani ya kina mdee kulamba shavu la viti maalumu yamekuuma bado na huyu mama wa watu ambae hata hukuwa kumfahamu nae imekuumiza kupewa shavu Basi nenda mwenyewe Sasa kwa jiwe ukaombe uteuzi ili uache kuja kuuliza maswali ya kinafiki hapa jf.
Huwezi jua inawezekana siku isiyo na jina nikamuomba K (tunajitahidi kuweka akiba)Hahahah! Sawa mkuu